Mbona mimi imeeenda mkuu jaribu kwa komputer nyingineWanachezea akili zetu hawa,wametangaza kazi recently ila email address(dhra@nssf.or.tz) yao kila ukituma maombi inarudisha majibu kwamba imefeli na wametoa condition ya kuappy kwa email tu,isije ikawa kazi mshapeana mnatuzuga tu......
Huu ni wakati wa kuhinua uchumi wa nchi yetu TANZANIA .Lazima Serilikali hitumie kila mbinu kuhinua hali ya maisha ya wananchi.Kwasasa hivi Tanzania uchumi wetu mkubwa hunatokana na kilimo.Kwahiyo serikali lazima hitafute njia zingine zaidi kuhingiza mapato na hajira zaidi.Nafikiri tatizo kubwa zaidi ktk nchi yetu ni hajira kuwepo na mikutano namna la kutatua tatizo hilo.Sasa hivi tunawasomi na wanauchumi lazima wakae pamoja nakufafanua na jinsi ya kuwasidia wananchi .

Nilituma alhamis mpk saizi sijapata sms ya not deliveryumerudi kucheki kwenye email zako?kama haijarudi?maana mm nikituma zinaenda ila baada ya muda napata email kuwa hawajaweza kudeliver email yangu