NSSF-ARUSHA...Sitanyamazia Hili...!

NSSF-ARUSHA...Sitanyamazia Hili...!

Mimi nadhani tatizo hili haliko Arusha pekee, ni karibu ofisi zote za NSSF; tatizo la watanzania tukishapewa ofisi za kutoa huduma hasa za madai, mtazamo wetu kwa wanaodai unakuwa kama wadai ndio wenye shida na sisi tunawasidia, which is WRONG!!!! wanaodai ndio wanafanya familia zatu ziende ******... ile ni haki yao, period!!!

Sijui tutaanzia wapi kuelimishana maana hata muelimishaji anaona anayeelimishwa naye ni mwenye shida!!!
 
Kuna mtu tulikuwa Ofisi moja, ofisi hiyo ikafa, tukapeleka pamoja malalamiko hapa NSSF, lakini mwenzangu hapa juzi kanipigia anasema anafuata cheki siku yoyote, ameambiwa iko tayari, lakini nilipoenda kuuliza kuhusu mimi hata faili halionekani.
Nikajaribu kumdadisi huyu rafiki yangu akasema ametumia gia kubwa, yaani amepitia kwa ndugu.
 
Back
Top Bottom