Kumekuwa na hali ambayo haieleweki, watu tumefungua madai ya Mafao tangu November mwaka jana, lakini hadi sasa tunakaribia mwezi April ukienda unapigwa tarehe tu, mimi mwenyewe binafsi sasa ni mara ya nane napigwa tarehe, ukiomba kwenda kwa Meneja wanakukatalia, na hii inaonekana ni usanii wa ofisi nzima kwani katika ofisi zote hamna mlango unaoonyesha kwa Meneja.
Hivyo kama mtu uliacha kazi kwa malengo yako ya kujiajiri malengo hayawezi kutimia kutokana na muda.
Wengine wanasema eti NSSF hawana hela kwani hela zimechukuliwa na serikali. Mwenye habari zaidi na ushauri nini tufanye kuhusu mafao yetu plz atusaidie.