Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,187
- 42,013
Ngoja wakasirike ruttashobolwa.
Ndo ukweli wenyewe, wakija watasema nina sifa kumbe ndo uhalisia.
Arafuuu, wahaya tuna akili bwana, hatuhitaji kubebwa.
lazima na hili wakatae
Ngoja wakasirike ruttashobolwa.
Ndo ukweli wenyewe, wakija watasema nina sifa kumbe ndo uhalisia.
Arafuuu, wahaya tuna akili bwana, hatuhitaji kubebwa.
Ngoja wakasirike ruttashobolwa.
Ndo ukweli wenyewe, wakija watasema nina sifa kumbe ndo uhalisia.
Arafuuu, wahaya tuna akili bwana, hatuhitaji kubebwa.
<br><br>UWIIIIIIIIII! hawa sijui ni watanzania wa wapi, kila kitu ni misifa na kujipendelea kwa kuwadhulumu wengine. Ktk chuo ninachofundisha tulimpata mama wa kihaya kama PRINCIPAL Wahaya wote wa mjini wakafanya chuo kama shamba la bibi, mkufunzi wa kawaida ambaye siyo mhaya huwezi kupata huduma ofisini kwani muda wote anapiga stori na wahaya wenzake bila kusahau foleni ndefu ya wanafunzzi wa kihaya wasiopungua ofisini kwake. Na lugha kuu pale ni kihaya. Mbaya zaidi ile sura ya kitaifa chuoni imepotea kabisa, 80% ni wanachuo wa kihaya na si kwa sifa bali kwa kubebwa. mbaya kupitiliza, akifeli mwanachuo ambaye sio mhaya mwongozo wa chuo unafuatwa lakini akifeli mhaya tena kwa haki kabisa, utasikia oooh mimi mlezi wake ooooo kwake kagera mbali sana arisiti kabla ya matokeo kutoka n amengine mengi hawa jamaa hatari kweli kweli hafu huyu mama namwoneaga huruma kwa utumwa wa kikabila alio nao akifeli mhaya tu hapo ofisini siku hiyo wageni na simu zote zinakuwa ni za wahaya za kumlumu kwa kumfelisha wa nyumbani. utasikia unamflisha mwanao aende wapi jamani. <br>
<br>
lazima na hili wakatae
mbona huwa hamuwasifii wa-Kwele? au wao hawana kitu cha kipekee?
mwakibakola, waambie waelewe wahaya akl ni za kurith, afu kila mtu anatuchukia cjui kwa nini, nimeacha kaz ktk ofc flan ksa bos hajui hesab nikimuhesabia et namuibia, nikaamua kuacha. Wasome waone
Kiboko ya Wahaya ni Idd Amin na askari wake, kwa hilo hawawezi jisifia, CHEZA NA KULIWA TIGO WEYE!
lol, sikuyajua haya! ...lakini kwa 'chapaa' nina mashaka kidogo kokuMbona mnapenda kutuchokoza?
Hamtaki kukubali kuwa tuna akili na tupo vizuri kichapaa?
hapo kwenye red, isije kuwa mambo ya elimu kwa kulinganisha Waingereza miaka 500 iliyopita wakiwa na vyuo (sijui Cambridge na Oxford pekee) na Tz ya leo yenye vyuo zaidi ya 100 sasa!Wakati wanyamwezi, waha na wanyalu wanakata mkonge Tanga,
Wachagga, wahaya wanyakyusa walikuwa darasani,
Maeneo yanayo otesha kahawa ndiko shule ziliko anza,
Wanyiramba, wahehe na warangi wamekuwa wakisupply Ma house girl siku zote,
sasa hivi meza imeanza kugeuka.
Maeneo yaliyokuwa na idadi kubwa ya vijana shuleni miaka ya 50 leo yanaongoza kwa wasomi.
30 years from now utashangaa PhD nyingi zinatoka Iringa, Kondoa, Tabora, Shinyanga, Kigoma
Sasa hivi mikoa iliyokuwa nyuma kielimu ndiyo yenye walimu wengi wa sekondari kuliko mikoa mingine yote.
Wahaya, wachagga sasa hivi wanajikita zaidi katika biashara na utapeli
suala kwamba kabila fulani wana akili si sahihi.
Bahati nzuri ukoo wetu wote wana masters na PhD.
Wape ukweli hao.
Sasa wanataka kubishana na ukweli au?
lol, sikuyajua haya! ...lakini kwa 'chapaa' nina mashaka kidogo koku
omujubi kwa nini mashaka?
nafikiri mashaka makubwa aliyonayo OMUJUBI ni kale katabia kenu kakuuza kitumbua!
Mnatusingizia tu.