MHAYA AKISIFIWA BWANA, NI BALAA... Utasikia...

MHAYA AKISIFIWA BWANA, NI BALAA... Utasikia...

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
2,240
Reaction score
795
RAFIKI: aisee kabila lenu mna akili sana
RUGAIMUKAMU: ofukoz, kwani hukumbuki kipindi kire tukiwa wingereza na akina blackberry rweyemamu, iPod ruganyizi, screen-touch rwezaura, facebook rwekaza, message sent kokusima na vokswargen rugangira tulikuwa tunaongoza sana kwa kufauru darasani
JIRANI: rugaimukamu leo umependeza
RUGAIMUKAMU: mh infwact ungeniona jana je?
MWALIMU: mwanao ana akili sana darasani
RUGAIMUKAMU: actuare mimi bado hajaniimpress kabisa, he is not siriasi kwakweri
#am new here,hope its nt an oldie#
 
Hao wahaya washamba mbona 2meacha majigambo now days...jamani
 
Am a regular here. It's not an oldie but very new and fresh.Yes, those are Hayas. That's how they are!
 
Umejitahidi kweli kusomesha watoto wako
MHAYA: Ila mitoto yenyewe hovyo. Hili likubwa lina kaPhD tu, huyu wa kike eti ndo kamaliza masters juzi. Hili la mwisho nasikia limepata mkataba wa kuichezea chelsea
 
Hao wahaya washamba mbona 2meacha majigambo now days...jamani

mmeacha toka lini? jana tu kuna mtu alikuwa anajibost eti kanunua ipad 2, moja ya dada yake. eti ooh unajua these days lazima uwe na ipad. nikimuuliza anaitumia saa ngapi, jibu hana
 
Umejitahidi kweli kusomesha watoto wako
MHAYA: Ila mitoto yenyewe hovyo. Hili likubwa lina kaPhD tu, huyu wa kike eti ndo kamaliza masters juzi. Hili la mwisho nasikia limepata mkataba wa kuichezea chelsea

hahahaha!huyu ana masifa sana.
 
Aaaaaaaaaaah umenicha hoi sana lakini umeongeza chumvi bhana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom