Mkuu Shida iko wapi, hujaelewa au kuna matatizo mengine personal? Huyo ndugu sio kwamba hajui kama inatiwa NSSF bali ni vidole tu vimechanganyikiwa. Vinginevyo hata kwenye details angekuwa ameandika kimakosa (nsff) badala ya NSSF. Sasa tukianza kuangalia matatizo madogo kama hayo hatutaweza ku-discuss kitu hapa, maana hata wewe mwenyewe pia umekosea; hakuna "nssf" bali kuna "NSSF" (in capital letters) kwasababu hicho ni kifupisho cha jina (Abbreviation). Ushauri wangu kwa wanaJF wote Mwaka 2012 tuutumie ku-discuss vitu ambavyo ni productive badala ya kuangalia vikosa viduchu ambavyo hata mtu akirekebisha havileti tofauti yoyote katika discussion. Ni mtazamo wangu tu.hakuna kitu nsff kuna nssf national social securty fund WE BUILD YOUR FUTURE
Yaani hawa jamaa bwana, hata mimi walinitext tarehe 29/12/2011 for interview but machale yakanicheza nkasema nsipoteze nauli bure kumbe mambo yenyewe ndo hayo mhm. Haya bwana wenye NSSF yao.
mimi ni mwingoni wa watu waliofanya written interview jana ila habari za uhakika toka ndani ya NSSF mawaziri wa nchi kibao wamepeleka majina ya watu wao wasidhani hii tz ya mwaka huo sasa ni zama za uwazi na ukweli.
Ninakusudia kuyaweka hadharani majina aliyoyapeleka waziri wa maliasili Maige yako kama nane nasubiria kama matokeo ya watu hao yatapitishwa ninafuatilia pale IFM inasemekana jamaa hawajafanya hata paper huu uonevu mkubwa sana watu tutafanyaje kwa staili hii kisa Maige alikuwa mmoja wa wajumbe wa mfuko huu sasa naahidi nitayapeleka majina hayo kwenye magazeti nitagharimia yawekwe wazi watu wafahamu uozo unaofanywa na wanaojiita wenye nchi.
Pia wanapa tahadhari NSSF kitengo cha uajiri HR nitawaumbua fuateni haki