Nsaidieni jinsi ya kujiunga na tiGO internet kwenye sim | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nsaidieni jinsi ya kujiunga na tiGO internet kwenye sim

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by elmagnifico, Sep 3, 2011.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  naomba anayejua jinsi ya kuomba confguration za internet internet kwa sim anipe maana nimepga huduma kwa wateja hata simu haipokelew
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Sep 3, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,800
  Likes Received: 7,126
  Trophy Points: 280
  alaf tigo huduma kwa mteja wakata sh 100 sasa. Skia kaka access point yoyote yakubali tigo ila iwe valid.

  Kama simu haina access point tengeneza yako yategemea na aina ya simu

  kama ni s40 zisizo minimize nenda menu then setting then configuration then personal configuration... Tengeneza access point kama wataka utumie kwenye application ie:,, opera, ucweb nimbuzz kama wataka utumie kwenye web ya kawaida simu tengeneza web

  usisahau pindi ukitengeneza access point au web kwa s40 baadae ka activate ili zifanye kazi. Na pindi unazitengeneza usiset chochote just create halafu back

  kwa wale wenye s60 simu za kuminimize au mult task phones nenda menu then tools then setting halafu connection tafta access point iclick then bonyeza option halafu add new.

  Mpaka hapo umemaliza lakini kama wewe ni advanced tumia ip 010.158.020.080 na port eka 8080 but si lazima

  dah nnavokuhangaikia elmagnifico halafu laini hinipi ileee
   
 3. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Samahani chief mkwawa nahisi umekosea,IP ADRESS ya tigo ni 010.168.020.080 na sio 010.158.020.080
   
 4. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  tnx bradah, hahaha wewe na lain, dah wajua naitumia downloadia softwares from piratebay kaka
   
 5. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Eg...Wap nokia 5310 to 500
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Sep 4, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,800
  Likes Received: 7,126
  Trophy Points: 280
  yeaaahhh 168 sio 158 thanx kwa kunikerebishaaaaa
   
Loading...