Kibanga amekosea. RAM ni memory inayohifadhi taarifa/data kwa muda mfupi tu (temporary storage) kabla havijapelekwa kwenye hifadhi ya kudumu ambayo ni ROM (Permanent storage, unless you delete the data). Let's say kwa mfano, unapokuwa unachapa maandishi kwenye Microsoft word, kila herufi unayoichapa inahifadhiwa kwenye RAM, ndiyo maana unapoiandika unaiona na inaendelea kuwepo. Ikitokea bahati mbaya umeme ukakatika wakati unaendelea kuchapa, ukija-kuboot machine yako for the next session, hiyo information uliyokuwa unaichapa hautaikuta, itapotea kwa sababu ilikuwa bado iko kwenye RAM. Uki-save information inahifadhiwa sasa kwenye ROM ambapo hata umeme ukikatika inaendelea kuwepo utawasha machine yako baadaye na utaikuta. PROCESSOR ni ubongo wa computer, assuming komputa inabadilika na kuwa kama binadamu, this is as simple as that!