Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Tatizo sio ku-unlock mkuu.
Swali ni, JE NIKI-UNLOCK(Huawei E303 ya Voda) ITAPIGA KAZI KAMA KAWAIDA IKIWA NA LINE NYINGINE + PD-PROXY?????
Hilo ndo nililoomba kuelimishwa.
Mkuu icje ikawa umeactivate EDGE/GSM maana kama ni hivyo na alali ukeshe bt kama umeactivate WCDMA bas hiyo location yako uliyopo kuna low network!mmh.. kwann huu ujanja tusipeane wote. na sisi tunaokuja nyuma tuwe sawa.. maana apa ata usingz hauji.. nna speed ya 33.7kb/s. na ni kitabu cha mb 187 lkn ni siku tatu.. tusaidiane wapendwa.. shukran
Mkuu icje ikawa umeactivate EDGE/GSM maana kama ni hivyo na alali ukeshe bt kama umeactivate WCDMA bas hiyo location yako uliyopo kuna low network!
unatumia mordem ya aina gani mkuu!mm n mgen mambo haya vp naweza pata maelezo zaid ya hapo
mmh.. kwann huu ujanja tusipeane wote. na sisi tunaokuja nyuma tuwe sawa.. maana apa ata usingz hauji.. nna speed ya 33.7kb/s. na ni kitabu cha mb 187 lkn ni siku tatu.. tusaidiane wapendwa.. shukran
unatumia mordem ya aina gani mkuu!
kaka hio ni voda right?
hapo upo 3g ila una tatizo la kutopata hspa au 3.5g we unapata wcdma tu.
cha kufanya angalia rangi ya taa ya modem ikiwa blue ujue upo wcdmA na ukiwa cyan (kama blue bahari) jua unapata speed ya ukweli ya hspa.
ukiona modem imekua blue Kama dk 2 hv pause download disconect pd kisha disconect modem halafu conect upya.
sometime inakera itabidi uwe unafanya hivyo hadi download iishe.
kaka hio ni voda right?
hapo upo 3g ila una tatizo la kutopata hspa au 3.5g we unapata wcdma tu.
cha kufanya angalia rangi ya taa ya modem ikiwa blue ujue upo wcdmA na ukiwa cyan (kama blue bahari) jua unapata speed ya ukweli ya hspa.
ukiona modem imekua blue Kama dk 2 hv pause download disconect pd kisha disconect modem halafu conect upya.
sometime inakera itabidi uwe unafanya hivyo hadi download iishe.
mwambie aliyekuuzia hiyo pd proxy akupe port nyingine maana hiyoo unayoitumia iko disabled temporaryWanadau habari zenu.
Nina tatizo, PD-Proxy leo inanigomea kabisaaaaa kuconnect tangu mchana. Asubuhi ilipiga kazi vizuri tu, kuna muda umeme ulikatika ghafla na PC ikazimika while Proxy ikiwa connected. Jioni nilipotaka kuitumia ndiyo nikagundua tatizo, nimejaribu kubadilisha server mara kadhaa haijasaidia. Nipo Morogoro & natumia modem ya Vod...m(Huawei E303).
Kwenye dashboard ya Vod...m connection iko OK, Upload & Download zipo kati ya 0 kbps mpaka 13.74 kbps.
Mwenye ufumbuzi tafafhali, natanguliza shukrani.
cc: Mwl.RCT, donlucchese, njunwa wamavoko, Young Master & others.
mwambie aliyekuuzia hiyo pd proxy akupe port nyingine maana hiyoo unayoitumia iko disabled temporary hii sio kwako tu ni kwa watu wengi natumeanzisha uzi nenda kasome uone kilio cha wengi
me mbna kwangu haifamnyi kazi (pd-
proxy kukiwa na 0 balance kwnye acc. yangu ya DAVO?
me mbna kwangu haifamnyi kazi (pd-
proxy kukiwa na 0 balance kwnye acc. yangu ya voda?
mshazuiliwa kutaja mitandao hamusikii sijui ni vichwa maji au ni nn?
Sasa unafikiri nani atakusaidia vinginevyo utaonekana SPY