Now Available Near You...

Now Available Near You...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,253
Reaction score
44,595
majeruhinewad.jpg

Kwa wakazi wa BOngo mambo haya matamu yako njiani yanakaribiaaaa mnooo!!!
 
Tunakisubiri mkuu.

....Shigongo hana uwezo wa kutunga bali kunakili na kubadili hadithi kutoka lugha nyingine kwenda kiswahili.
 
Tunakisubiri mkuu.

....Shigongo hana uwezo wa kutunga bali kunakili na kubadili hadithi kutoka lugha nyingine kwenda kiswahili.

Bila kusahau na magazeti yake yakipambwa na picha za watu nusu uchi bila kusahau Udaku Business!
 
Tunakamilisha kesho malipo kwa ajili ya hatimaye wazungumzaji wa Kiswahili waweze kujipatia kitabu cha kusisimua wakati huu wa katikati ya mwaka na likizo mbalimbali.
 
Mwanakijiji hiki kitabu ndio kinastory ya mdada aliyekutwa na jamaa yake, anataka kunaninii na mfanyakazi mwenzake??
kitakuwa pesa ngapi?

Nakumbuka niliahidi kukisoma hiki kitabu elufi kwa elufi nikiwa na wife.
 
mada mnyumbuko/
hivi n'nini hasa mantiki ya kuficha jina halisi?
 
Back
Top Bottom