Novel gani ilikuvutia enzi uko secondary?

Kitanda Cha Mauti ni cha Kajubi Mukajanga
 
hivi alfu lela ulela kiliandikwa na nai vile?

Alfu Lela Ulela ni mkusanyiko wa hadithi nyingi za kale kutoka mataifa mbalimbali India, China, Uarabuni na Kwingineko.
Simulizi hizi zilichukua siku Elfu Moja na moja kukamilika na ndipo zikaitwa Alfu Lela U Lela.
 
thanx mkuu
 
Safari za/ya Gulliver
Just Another Sucker - James Hadley Chase
One Bright Summer Morning - ... do ...
Simu ya Kifo
Things Fall Apart
Mfululizo wa vitabu vya Malimwengu
 
Safari za/ya Gulliver
Just Another Sucker - James Hadley Chase
One Bright Summer Morning - ... do ...
Simu ya Kifo
Things Fall Apart
Mfululizo wa vitabu vya Malimwengu

sawa mkuu
 
Kuna kitabu kilipigwa marufuku, sikumbuki jina ila kilikuwa kwa mtindo wa mashairi na vilikuwa viwili.
 
somg of lawino
no longer at easy
things fall apart
zawadi ya ushindi
novels za b. R . Mtobwa (sterling wake joram kiango)
novels za e. musiba (sterling wake willy gamba)
alfu lela ulela
novels za sydney sheldon kama dooms day, nk
enter my jungle
 
je tutafika na roho zetu,nyuma ya pazia,dar es salaam usiku R.I.P Ben Mtobwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…