Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,007
- 1,600
[emoji815]Hii ni set ya mtu wa miaka 40 na kuendelea..
[emoji815]Ni moja ya set ambayo tunaiuza kwa wingi sana na inapendwa sana sana..
[emoji815]Hakuna mtu anayependa kuzeeka, kila mtu anatamani akikutana na mtu amwambie amependeza,amekuwa kijana n.k.
Kuzeeka ni lazima kikawaida umri unavosogea...ila hii hupunguza speed ya ngozi kuchoka na kukufanya uonekane kijana zaidi.
[emoji815]Upekee wa hii set ni kwamba inapambana na dalili za uzee zinazowakumba watu wa miaka 40 kuendelea ambazo ni..
[emoji843] Makunyazi na mikunjo( wrinkles and fine lines)
[emoji843]Ngozi kufifia rangi(Dull skin)
[emoji843]Ngozi kushuka (sagging skin)
[emoji843]Ngozi kupata mabaka mabaka (age spots)
[emoji843]Ngozi kupoteza unyevu nyevu (skin dehydration)
[emoji815]Dalili nyingi za uzee zinasababishwa na mifumo ya maisha kwa asilimia 80 na umri kwa asilimia 20 zilizobaki..
[emoji815]Hivyo inawezekana kabisa kuendelea kuonekana kijana kama tukibadili mifumo ya maisha na kutumia bidhaa sahihi za utunzaji ngozi.
[emoji815]Kwa matokeo mazuri tumia set nzima....
Unaweza kununua bidhaa mojamoja pia kulingana na budget.
Ambavyo ni muhim zaidi ni night cream,daycream, Cleanser.
Endapo mteja akiomba vichache kwanza.
SET NZIMA BEI NI 309,000
[emoji815]Inadumu mpaka miez 8
Kwa mawasiliano whatsapp me/text to 0759827138
Sent using Jamii Forums mobile app