NOTORIOUS B.I.G vs TUPAC

Acha UONGO wewe...... Kasome tena historia yao. Au ukitaka kwa urahisi, sikiliza wimbo huu....

Tupac ndiyo alikuwa anafahamu maneno mengi sana ya Kiingereza na alikuwa akiwasiliana hadi na Mama mmoja ambaye alikuwa Proffesor wa chuo kikuu mambo ya Arts. Pac akiwa mdogo, alikuwa akifanya kosa, mama yake anampa adhabu ya kusoma magazeti na hasa ya TIMES na huko ndipo alipojenga hobby ya kujisomea. Tupac alikuwa anafahamu mambo mengi sana na unaweza kujadiliana naye habari nyingi sana. BIG alikuwa mtoto wa kihuni tu mtaani. Akiwa mdogo, alishakaa na TUPAC nyumbani kwao. Ndiyo maana Mama zao hadi leo wanawasiliana.

Kaka kama unanipinga Basi pinga kwa point lakini hiyo ya kusema acha uongo, ni kama vile unajinasibisha kuwa wewe ndio unasema ukweli, cha ajabu wewe ulikuwa mtu wa kusoma kama wengine tunavyosoma

cha muhimu kwenye ubishi kama huu inakupasa uwe free ili upate ukweli, Ubishi Wa BIG na Tupac sio wa leo na wala sio wa Tanzania tu, bali ni Dunia nzima na hata Marekani kwenyewe, (Sawa na ubishi wa Bob Marley na Peter Tosh) na hata waliokuwa Karibu na hao watu still wanatoa hoja zenye kukinzana.

Kaka BIG alikuwa ni mbaya wa Lugha
"At the Queen of All Saints Middle School, Wallace excelled in class, winning several awards as an English student" ingia Hapa The Notorious B.I.G. - Wikipedia, the free encyclopedia

Mkuu kuna Facts hazipingiki kwenye mtanange huu, Mbele Game ilivyokuwa inaenda Tupac alikuwa anamfunika mbaya BIG

CC: Bujibuji, SHERRIF ARPAIO
 
Last edited by a moderator:
B.I.G alikuwa moto wa kuotea mbali..juicy noma acha mo money mo problems!!
 
Ukitaka message basi utampenda 2Pac.
Ila ukitaka flow ya rap basi Biggie ni mshindi
.
Mimi binafsi, I go with Biggie.........the greatest rapper ever!

Nakubaliana na wewe BIG alikuwa ana style kali ya kurap but 2Pac alikuwa mkali wa mashairi
 
JUICY alikopi wimbo wa MTUME uitwao JUICY Fruit na hapo alipofanya ni kuongeza RAP tu, hakuna zaidi.

B.I.G alikuwa moto wa kuotea mbali..juicy noma acha mo money mo problems!!
 
Last edited by a moderator:
2 PAC na big smalls!!!!!wat d F!huu ubishi wa tofauti zao ulimfanya bro anitupie makonde enzi hizo za 1996 tuko downtown phillies USA jamaa ndo beef ilikua beef!bro alikua mnazi wa biggie afu mie neutral!daima na milele,ukisema maharage haya ni matamu kama nyama utaeleweka......ila ukisema nyama hii tamu kama maharage utashangaliwa!big lyrics zake kwenye nyimbo zake kwa 90% nikujisifia kuhusu anavojua sex,alivo na pipe kubwa,anavoishi baab kubwa bila kujali hata kwenye hiyo track ya juicy kwasababu ndiyo maisha alokua anayaota.flow yake ni ya kawaida na iko sawa na ya guerrila black.beats kali na mix kali za puff daddy ndo'zlikua zinambeba ukiacha mbali mahaba ya new yorkers.pac man alikua noma......tafuta track ya only God can judge me na letter to the prez afu utanambia kama biggie alikua na upeo wa kuandika shairi namna ile.
 
Tena sasa......Pac hakuwa mtu mbaya wa Biggie,sean combs na suge knight ndo'wahovyo sana na waliwapambanisha hawa majembe!kunawakati ilitokea pac alikua anakula good T outdoor afu mara under influence ya sean combs biggie kaibuka eneo lile na mziki mnene!
 
Ninachopinga na kukuita MUONGO ni kusema "BIG" ndiyo alimleta TUPAC kwenye "game".

Wallace anaweza kuwa kweli mtaalamu wa Kiingereza kama alivyo Queen Elizabeth, ila Malikia hawezi kuwa mwandishi wa mashairi yenye busara. Unajua kupangilia maneno ya busara ni kipaji na siyo kusoma.
Pac alitoka familia ya kimasikini sana kulinganisha na BIG. Ndiyo maana hata shule alizosoma ni nzuri tofauti na Pac. BIG alivyoanza kuharibika, ndiyo akawa ameishia mikononi mwa akina wauza unga na huko ndiyo ukaanza urafiki na Pac.

Kama nilivyosema mwanzo, Tupac alikuwa ni zaidi ya Rapper, alikuwa ACTIVIST.

Kama unaweza, sikiliza hizi Video hapa chini na ya kwanza ni pale Pac anasema "Nilimpa BIG show yake ya kwanza...."

2pac's Killuminati UNSEEN INTERVIEW - YouTube

2pac - Keep Ya Head Up (Live acapella) - YouTube

Starting this autumn, Professor Knut Hermundstad Aukrust will begin offering a module on "Tupac, hip-hop and cultural understanding." The course description refers to the deceased artist as "an icon with a saintly status far beyond his fan base", national broadcaster NRK reports.
A big fan of Shakur, who was shot and killed in 1996 at the age of 25, the professor said he believed gangsta rap was often misunderstood. "Being a gangsta rapper is not the same as being a gangster," said Aukrust.
Read more here: Tupac Shakur can teach us a lot: Oslo professor - The Local

Kaka kama unanipinga Basi pinga kwa point lakini hiyo ya kusema acha uongo, ni kama vile unajinasibisha kuwa wewe ndio unasema ukweli, cha ajabu wewe ulikuwa mtu wa kusoma kama wengine tunavyosoma
cha muhimu kwenye ubishi kama huu inakupasa uwe free ili upate ukweli, Ubishi Wa BIG na Tupac sio wa leo na wala sio wa Tanzania tu, bali ni Dunia nzima na hata Marekani kwenyewe, (Sawa na ubishi wa Bob Marley na Peter Tosh) na hata waliokuwa Karibu na hao watu still wanatoa hoja zenye kukinzana.

Kaka BIG alikuwa ni mbaya wa Lugha
"At the Queen of All Saints Middle School, Wallace excelled in class, winning several awards as an English student" ingia Hapa The Notorious B.I.G. - Wikipedia, the free encyclopedia

Mkuu kuna Facts hazipingiki kwenye mtanange huu, Mbele Game ilivyokuwa inaenda Tupac alikuwa anamfunika mbaya BIG

CC: Bujibuji, SHERRIF ARPAIO
 
Kituko, ukitaka kuelewa mimi ninasema nini, basi soma hii habari hapa chini: (Tosh na Marley, unaweza kuanzisha habari mpya na tutajadili sana tu, na nikiona unadanganya tena, basi popote ulipo, ntakutumia DVD Documental zao).

Should 2Pac Be Taught In College?
This was far from those dorm room "Pac or Biggie" arguments that you and your friends used to have freshman year of college. No, these were tenured professors, people with doctorate degrees using words like "dystopian" to describe some of Pac's content.

"He was an intellectual as well, but he didn't always speak in that manner," says Dr. Jesse Benjamin, Associate Professor of Sociology at Kennesaw State University, whose paper "Tupac In the Classroom: From COINTELPRO to Critical Consciousness" was displayed at the conference. "He could break things down to layman terms. In academics, if you can't break things down to people who aren't in the academy, you're wasting your time. If you can't talk real, to regular people, your theories sound silly."

Soma zaidi hapa: Should 2Pac Be Taught In College? | Loop21
 
Kwa mimi 2pac ni mwandishi mzur zaidi ya big ila big nae anaflow nzuri kuliko pac. Hayo ni mawazo yangu mie kwa jinsi navowasikilza
 
Kituko, ukitaka kuelewa mimi ninasema nini, basi soma hii habari hapa chini: (Tosh na Marley, unaweza kuanzisha habari mpya na tutajadili sana tu, na nikiona unadanganya tena, basi popote ulipo, ntakutumia DVD Documental zao).

Should 2Pac Be Taught In College?
This was far from those dorm room "Pac or Biggie" arguments that you and your friends used to have freshman year of college. No, these were tenured professors, people with doctorate degrees using words like "dystopian" to describe some of Pac's content.

"He was an intellectual as well, but he didn't always speak in that manner," says Dr. Jesse Benjamin, Associate Professor of Sociology at Kennesaw State University, whose paper "Tupac In the Classroom: From COINTELPRO to Critical Consciousness" was displayed at the conference. "He could break things down to layman terms. In academics, if you can't break things down to people who aren't in the academy, you're wasting your time. If you can't talk real, to regular people, your theories sound silly."

Soma zaidi hapa: Should 2Pac Be Taught In College? | Loop21

sasa sio wewe unasema nini bali hiyo source yako ndio inayosema, na source zipo nyingi na ninachokisema mimi pia nimesoma na ndio maana nikakuwekea na source

Kamanda uwe frexible kidogo, hii habari ya BIG Popa na Tupac ni ndefu mno na haina ueleweka mzuri

Tupac Mwenyewe anasema Katembea na Mke wa PoPa (Faith Evance), Mwanamke mwenyewe anakataa, sasa wewe hapo unashika lipi?

Kaka haya Mambo niliyafatilia kitambo wakati bado tupo Mashuleni, sasa mambo yako tight kutafuta mkate, hope na wewe umeshakomaa sasa hivyo jitahidi kuwa unabalance habari unazosoma,
 
Naona bado huelewi mie ninasema nini. BIG alikuwa mtoto wa kihuni tu wakati Pac alikuwa ni Mwanaharakati.

Sijui kama unaelewa maana ya maneno hayo. Pac nyimbo zake baadhi, watu walikuwa wakizijadili katika Vyuo vikuu, mashuleni nk. Alikaribishwa katika vikao vya watu na heshima zao. Mashairi yake yalikuwa na ujumbe mzito sana ndani yake.
Huhitaji sana kusoma watu wanasema nini kuhusu yeye bali inatosha tu kusikiliza video zake wakati wakimuhoji. Kwa umri mdogo wa miaka 17, aliweza kuongea mambo mazito sana. Hii ndiyo tofauti kubwa ya Pac na BIG. Sasa unapochukua wimbo kama wimbo, nani alikuwa zaidi? Mhhh, hapo ni uamuzi wa mtu.

Kwa upande wangu nawapenda wote na wote nina CD zao nyingi tu ORIGINAL na DVD zake na nilinunua mwenyewe kwa mapenzi. Ila kama kuna Concert na waniambie niende wapi, basi ntakwenda kwa PAC. Kama kuna Jay-Z na BIG au Lil Wayne na BIG au Rapper yeyote yule basi nakwenda kwa BIG.

Kuhusu kumchukulia mke wake, ni kweli alionekana na Faith wakati BIG akiwa na mgogoro. Ila huo ni UJANA, tusiwafate.

Msome Pac: Tupac Shakur Quotes - BrainyQuote

Msome BIG: Notorious BIG Quotes | WestLord.com

Halafu linganisha, mwenye BUSARA zaidi.
sasa sio wewe unasema nini bali hiyo source yako ndio inayosema, na source zipo nyingi na ninachokisema mimi pia nimesoma na ndio maana nikakuwekea na source

Kamanda uwe frexible kidogo, hii habari ya BIG Popa na Tupac ni ndefu mno na haina ueleweka mzuri

Tupac Mwenyewe anasema Katembea na Mke wa PoPa (Faith Evance), Mwanamke mwenyewe anakataa, sasa wewe hapo unashika lipi?

Kaka haya Mambo niliyafatilia kitambo wakati bado tupo Mashuleni, sasa mambo yako tight kutafuta mkate, hope na wewe umeshakomaa sasa hivyo jitahidi kuwa unabalance habari unazosoma,
 
any friend of Biggie's, is a friend of mine.
They both deserve the crown.
i chose Biggie sababu ya style, he is dynamic.
Bt tupac is the King, i met him last night in ma dream and told him so.
this is true, believe me!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom