NOTORIOUS B.I.G vs TUPAC

NOTORIOUS B.I.G vs TUPAC

Kazi kwelikweli

Kaka kama unanipinga Basi pinga kwa point lakini hiyo ya kusema acha uongo, ni kama vile unajinasibisha kuwa wewe ndio unasema ukweli, cha ajabu wewe ulikuwa mtu wa kusoma kama wengine tunavyosoma

cha muhimu kwenye ubishi kama huu inakupasa uwe free ili upate ukweli, Ubishi Wa BIG na Tupac sio wa leo na wala sio wa Tanzania tu, bali ni Dunia nzima na hata Marekani kwenyewe, (Sawa na ubishi wa Bob Marley na Peter Tosh) na hata waliokuwa Karibu na hao watu still wanatoa hoja zenye kukinzana.

Kaka BIG alikuwa ni mbaya wa Lugha
"At the Queen of All Saints Middle School, Wallace excelled in class, winning several awards as an English student" ingia Hapa The Notorious B.I.G. - Wikipedia, the free encyclopedia

Mkuu kuna Facts hazipingiki kwenye mtanange huu, Mbele Game ilivyokuwa inaenda Tupac alikuwa anamfunika mbaya BIG

CC: Bujibuji, SHERRIF ARPAIO
 
Mkuu, wote walikuwa na miziki ya Matusi na ya kawaida. Unaufahamu wimbo wa BIG na R Kelly uitwao F**k you tonight? Je unaifahamu Interlude yake na Lil Kim (F**k me) ambayo ni kama Porn kabisa. Wakati kwa upande wa Tupac, mbona wimbo wa Dear Mama watu walishawapigia sana Mama zao?

Wanawake wanaupenda sana huu wimbo ambao kwa kweli unawatetea sana na kuwapa nguvu/kujiamini sana wanawake.



When brothas make babies, and leave a young mother to be a pappy
And since we all came from a woman
Got our name from a woman and our game from a woman
I wonder why we take from our women
Why we rape our women, do we hate our women?
I think it's time to kill for our women
Time to heal our women, be real to our women
And if we don't we'll have a race of babies
That will hate the ladies, that make the babies
And since a man can't make one
He has no right to tell a woman when and where to create one
So will the real men get up
I know you're fed up ladies, but keep your head up.......


ni kweli Sikonge, nilikua najaribu kufanya~comparison ya wimbo Juicy na Hit em Up, ndio nikafikia conclussion kuwa nyimbo hizo zinaposikilizwa huleta ukakasi kwa kiwango tofauti ...!
 
Last edited by a moderator:
mkuu Bujibuji fitna unaziweza kama ccm,unalinganisha vipi nyimbo hizo,uko bias mkuu,umechukua party track ya biggie na bila huruma ukachukua diss track(hit em up)ya pac,..nashauri ungelinganisha miss you wa biggie na life goes on wa pac halafu tupige kura.
 
@Bujibuji Ukimfananisha Biggie na Pac ni kumwonea Biggie...Biggie alikuwa mkali sana ila kwa watu wachache waliokuwa wanajitoa kumfuatilia,ila Pac aliuteka ulimwengu kuanzia kuimba,mavazi mpaka style ya maisha kwa upande mwingine....

Soma hapa kidogo ujue Pac leo anachukuliwaje na jamii iliyostaarabika

Tupac Amaru Shakur (June 16, 1971 - September 13, 1996), also known by his stage names 2Pac and Makaveli, was an American rapper. In addition to his status as a top-selling recording artist, Shakur was a successful film actor and a prominent social activist. He is recognized in the Guinness Book of World Records as the highest-selling rap artist, with over 75,000,000 albums sold worldwide, including over 50,000,000 in the United States. Most of Shakur's songs are about growing up amid violence and hardship in ghettos, racism, problems in society and conflicts with other rappers. Shakur's work is known for advocating political, economic, social and racial equality, as well as his raw descriptions of violence, drug and alcohol abuse and conflicts with the law.

Michael Dyson, University of Pennsylvania Avalon Professor of Humanities and African American Studies and author of the book Holler If You Hear Me: Searching for Tupac Shakur indicated that Shakur "spoke with brilliance and insight as someone who bears witness to the pain of those who would never have his platform. He told the truth, even as he struggled with the fragments of his identity. At one Harvard Conference the theme was Shakur's impact on entertainment, race relations, politics and the "hero/martyr".In late 1997, the University of California, Berkeley offered a student-led course entitled "History 98: Poetry and History of Tupac Shakur."

Shakur was inducted into the Hip-Hop Hall of Fame in 2002.
In 2003, MTV's "22 Greatest MCs" countdown listed Shakur as the "number 1 MC", as voted by the viewers.
In 2004, at the VH1 Hip Hop Honors Shakur was honored along with DJ Hollywood, Kool DJ Herc, KRS-One, Public Enemy, Run-D.M.C., Rock Steady Crew, and Sugarhill Gang.
A Vibe magazine poll in 2004 rated Shakur "the greatest rapper of all time" as voted by fans.
At the First Annual Turks & Caicos International Film Festival held on Tuesday, October 17, 2006, Shakur was honored for his undeniable voice and talent and as a performer who crossed racial, ethnic, cultural and medium lines; his mother, Afeni Shakur, accepted the award on his behalf.
 
leo hii jay z atavaa fulana yenye picha ya biggie king of new york sio 2pac.

Ukipata time pitia ile video ya Jay Z na Beyonce (03'Bonne & Clyde), ipitie kwa umakini sana halafu urudi hapa kusahihisha hichi ulichoandika hapa.....

Kwa kukurahisishia angalia Graffiti za ile video!

Uzaidi wa mtu unaenda mbali ya ulichokieleza hapo
 
Mwalimu wangu Sikonge ahsante sana, japo hujaeleza kwa upande wako kura unaiangushia wapi kati hawa jamaa....

Ila Bujibuji ungeuacha huu mjadala kuwa wazi tu sio mpaka kujifunga kwenye hizo track mbili tu!!

Kwa ubinafsi wangu nimekuwa nikimkubali sana Pac, ila sijawahi kumpuuza Biggie Small..... Nililazimika kumkabali Biggie baada ya kuona watu wangu wengi hasa Mentor wangu wa HipHop akimhusudu sana Biggie hivyo nikajipa homework ya kupitia kazi nyingi sana za Biggie ikiwemo moja imefanywa miaka ya 2008 kama sijakosea, ilifanywa na Dj Vlad

images




na nikafikia hitimisho kama alilowahi kufikia mtu mzima KRS One!

Kwamba "...BiG was an Emcee but Pac is a massiah....."

Itoshe kusema hivyo!

Ila wote wana heshima ya pekee sana ambayo, kwa game jinsi ilivyo sasa na kama itaendelea hivi basi heshima za watu hazitakuja kufutika kabisa hata iweje.

Pia nimejifunza kuwa hamna maana kuwa kama unampenda fulani basi mwingine hafai..... linabaki tu kuwa suala la wewe unampenda nani na anakuvutia wapi ila ukiwakubali wote inakuwa poa zaidi...!

Mfano Eminem alipoziunganisha sauti zao na kuzalisha ile ngoma ya Running au "Dying to live" nadhani nilikuwa miongoni mwa watu wenye raha sana ya music ya hawa majembe mawili.....!

LOVE.......
 
Last edited by a moderator:
Mkuu JouneGwalu,

Huyu atakuwa kijana mdogo sana na hajui Historia ya muziki. 2Pac mwenyewe kakulia NY na alikuwa anasema wazi kabisa NY ni sehemu ya roho yake. Wakuu wa NY ni NAS na Jay-Z. Na wote wanamuheshimu sana huyu Pac.

tumblr_mbp6s4iJjt1r0mab7o1_400.jpg


NAS kwa NY ni Mtemi huwezi kuamini. Wensley Snipes na Black Belt yake ya Shotokan Carrate (Grade 5) alimsukuma NAS akafikiri kijana atakimbia, NAS alirudi akamsukuma pia na kumwambia, huwezi ukatoka hapo salama. Huo ndiyo ubabe wa hawa jamaa wakiwa kwao NY. Wapambe wao ni usiombe wakuangukie...

Aangalia hii Video: Jay-Z Interview about 2Pac & Notorious BIG (Sway Interview) - YouTube
Ukipata time pitia ile video ya Jay Z na Beyonce (03'Bonne & Clyde), ipitie kwa umakini sana halafu urudi hapa kusahihisha hichi ulichoandika hapa.....

Kwa kukurahisishia angalia Graffiti za ile video!

Uzaidi wa mtu unaenda mbali ya ulichokieleza hapo
 
Ukipata time pitia ile video ya Jay Z na Beyonce (03'Bonne & Clyde), ipitie kwa umakini sana halafu urudi hapa kusahihisha hichi ulichoandika hapa.....

Kwa kukurahisishia angalia Graffiti za ile video!

Uzaidi wa mtu unaenda mbali ya ulichokieleza hapo

JAY Z ALI RUDIA WIMBO WA 2PAC me and my girlfriend
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom