inawezekana hii baa ipo plot namba 1 ikulu tangazo aliandika PL(Luhanjo) aka edit SR(rweyemamu) kwa ajili ya mwezi mtukufu wa ramadhan .Na ndiomaana wanatotoa maamuzi ya ajabuajabu kwa ukosefu wa vitamini ALCOHOL mwezi ukiisha mambo yanaweza kwenda vizuri wataanzakutoa maamuzi under alcohol influence.