Kumbe noti za shilingi elfu kumi kwa ujumla wake zipo trillion sita?

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,330
4,853
Kwa mujibu wa B.O.T mwaka 2018 noti za shilingi elfu kumi zilikuwa trillion tatu na mwaka 2023 zimeongezwa tena kwenye mzunguko na kufikia trillion sita, hiyi inaleta picha gani?
 
Jibu rahisi mkuu. Mfumuko wa bei
Tanzania tunakimbilia hyper inflation. Kwa mwendo wa mfumuko huu, ili kunusuru kuongezeka kwa noti zaidi, serikali inabidi iprint noti ya 20,000 ASAP
 
Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 idadi ya watanzania imeandikwa, je ukigawa hizo noti kwa kila mtanzania atapata noti ngapi, sawa na shilingi ngapi?
 
Jibu rahisi mkuu. Mfumuko wa bei
Tanzania tunakimbilia hyper inflation. Kwa mwendo wa mfumuko huu, ili kunusuru kuongezeka kwa noti zaidi, serikali inabidi iprint noti ya 20,000 ASAP
Uganda wana noti ya juu laki 1 sidhan kama sasa hv wana noti ya 10k pia wana noti ya 50k
 
Jibu rahisi mkuu. Mfumuko wa bei
Tanzania tunakimbilia hyper inflation. Kwa mwendo wa mfumuko huu, ili kunusuru kuongezeka kwa noti zaidi, serikali inabidi iprint noti ya 20,000 ASAP
Nchi zilizosimama kiuchumi nazo zina print not kwa kuongeza sufuri?

Ilitakiwa hadi leo shilingi tano iwe na nguvu ya ku purchase, shilingi ishirini shilingi mia hadi miambili. Sasa unapo ona sarafu ndogo kama hizo zinakosa nguvu kwenye matumizi maana yake uchumi wako una dorola
 
Ikitokea ikachapishwa noti mpya ya say 15,000 au 20,000 shilingi za kitanzania, maana yake uchumi unazidi kudorora, inatakiwa thamani ya shilingi iimarike na kukua mpaka noti za 10,000 zitolewe kwenye mzunguko , turudi kwenye kutumia sarafu za shilingi 10,20 na 50. Then tuondoe 5000 na 2000 turudi kwenye shilingi 1,2 na 5. Siioni namna ya kufanya uchumi wa Tanzania kukua kurudi kwenye kutumia thumuni. Hiyo ni mada ya kipekee yake.
 
Back
Top Bottom