Wakuu leo nimepata habari kutoka kwa marafiki zangu zaidi ya wawili kwamba wamesikiliza habari asubuhi kwamba Tz inaplan kutoa noti mpya zikiwemo z tsh 15000 na 20000 if this is true wataalam wa fedha mtuambie je,ndio kupanda kwa uchumi? Where is this rich and poor country going? Nawasilisha.