Band hizo huwezi badilisha hapo. Sababu zipo kwenye baseband firmware ambayo ipo linked na firmware nzima ya simu. Kwa samsung hzo haiwezekani kabisa kwasababu hata processor zinatofautiana kwahyo huwezi pachika tu firmware ya international kwenye model ya US. Hyo model yako ya US inatumia processor za Qualcomm na International model inatumia Exynos CPU.
Kma ndio umenunua hapa karibuni irudishe tu ulipoinunua. Solution ya haraka ni kutumia smart kitochi kama hotspot ili uweze ingia net vizuri na upate calls zako na message kwenye hcho smart kitochi
Sent using
Jamii Forums mobile app