Inkotanyi 94
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,244
- 4,030
Inawezekana una model ambayo haina band zote za hapa bongo. Kama ni model ya US au Korea au Hong Kong. Kma ulinunua refurbished pia hyo inaweza kuwa sababu moja wapo. Epuka sana refurbished za Samsung huwa zinawekwa custom software zenye hayo matatzoSamsung sijui wanakwama wap. Mi huwa natumia hii brand tu. Lakin kwanini upande wa internet huwa hairespond haraka had kuzidiwa na tecno wakat ina ram kubwa? Browser natumia samsung. Kwa sasa nina note 8 lakin hata kuuliza salio inazubaa tu. Internet nayo haitembei kwa wakat. Niko voda. Dar. Sijaweka apps nying na memory nimetumia 20% tu. Anayejua namna ikuwe fast anisaidie. Kila kitu inarespond kwa kujifikiria sana.
Ulinunua global version kweli? Au uliorder for samsung note A basi bila kuangalia mchanganuo wakeSamsung sijui wanakwama wap. Mi huwa natumia hii brand tu. Lakin kwanini upande wa internet huwa hairespond haraka had kuzidiwa na tecno wakat ina ram kubwa? Browser natumia samsung. Kwa sasa nina note 8 lakin hata kuuliza salio inazubaa tu. Internet nayo haitembei kwa wakat. Niko voda. Dar. Sijaweka apps nying na memory nimetumia 20% tu. Anayejua namna ikuwe fast anisaidie. Kila kitu inarespond kwa kujifikiria sana.
Inawezekana una model ambayo haina band zote za hapa bongo. Kma ni model ya US au Korea au Hong Kong. Kma ulinunua refurbished pia hyo inaweza kuwa sababu moja wapo. Epuka sana refurbished za Samsung huwa zinawekwa custom software zenye hayo matatzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi si mjuvi ya haya mambo lakin nionacho ni kuwa sim inazubaa sana. Hivi naweza kukutumia screenshort ya nin ili uweke maarifa yako kung'amua lolote?Inawezekana una model ambayo haina band zote za hapa bongo. Kma ni model ya US au Korea au Hong Kong. Kma ulinunua refurbished pia hyo inaweza kuwa sababu moja wapo. Epuka sana refurbished za Samsung huwa zinawekwa custom software zenye hayo matatzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina Oppo 52 nayo ipo Ivo Ivo.Inawezekana una model ambayo haina band zote za hapa bongo. Kma ni model ya US au Korea au Hong Kong. Kma ulinunua refurbished pia hyo inaweza kuwa sababu moja wapo. Epuka sana refurbished za Samsung huwa zinawekwa custom software zenye hayo matatzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuma screenshot ya kwenye Software Information ndani ya Settings kule chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nayo uwezekano ni huo huo. Bands kadhaa zitakua hamna. Mkiwa mnanunua hzo simu hakikisheni ni global version au kma sio global kuna baadhi ya band zinatakiwa kuwepo.Nina Oppo 52 nayo ipo Ivo Ivo.
Hyo ni model ya USA aisee. SM-N950U na CSC code yake ni XAA. Haina major bands za huku bongo, na kuna sehemu ukienda network inakua inapotea kabisa.
Ulitakiwa uwe na International model (SM-N950FD) au Europe model (SM-N950F), hzi ndio zinashika band zote za bongo. Mkienda kununua Samsung refurbished muwe mna hakikisha kwenye model number mwsho ni FD au F ndio hazina shida ya network huku bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasema wewe, shida ni kwamba unanunua simu bila kujua specifications kwa undani zaidiMtaalam racka98 yuko anaongea mambo ya msingi. Njoo tumsikilize vzur mi na wewe mbumbumbu. Ndo ujaze tena server.
Band hizo huwezi badilisha hapo. Sababu zipo kwenye baseband firmware ambayo ipo linked na firmware nzima ya simu. Kwa samsung hzo haiwezekani kabisa kwasababu hata processor zinatofautiana kwahyo huwezi pachika tu firmware ya international kwenye model ya US. Hyo model yako ya US inatumia processor za Qualcomm na International model inatumia Exynos CPU.Naomba ushaur ushaur wako tafadhar kurekebishiwa. Haya mambo wengine si enwo letu.
Hata hyo ni model ya US. SM-G955U. Kma nilivyosema hapo juu unatakiwa kuwa na model zenye FD au F mwisho na sio U. Hii ni kwa Samsung zote. Model za US na International zinakua ni tofauti na International/Europe modelsWakuu naomba msaada na mimi hii ni s 8+ ina shida ya network piaView attachment 1697599
Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa watanzania wengi wanasimu fake za samsungUkweli mchungu ni kwamba asilimia 99 ya Watanzania wanaomiliki simu za samsung wanamiliki simu fake,copy na refurbished!Usitegemee simu fake ifanye cha maana.