Wakuu nina note 3 mpya inanisumbua kitu kimoja, yaani haiwezi kudownload iwe picha hata videos au music folder zozote, vile vile inagoma kufungua baadhi ya apps kama jamiiforum na apps za vitabu ambavyo ni muhimu kwangu. Nikisoma software yake inaniambia ni 4.4.2.
NB: Internet iko faster ni 3G naweza play hata video YouTube bila kustack
NB: Internet iko faster ni 3G naweza play hata video YouTube bila kustack