UnaandikajeHiyo ni shida kuu ya Samsung iwe ni copy au og, na hutokea ikiwa simu uta ireset au kuflash.
Cheki imei ya ndani na ya nje zinafanana? Kama hapana iandikie IMEI.
Vile vile kama hazifanani iandikie IMEI.
Kwanini ua'unroot?Mimi simu yangu ilikuwa na hii shida jamaa akairoot akaiset ikakubali sasa nawaza Nikii unroot tatizo si linaweza kurudi etii???
Kuna vitu nashindwa fanya sababu simu ipo rootedKwanini ua'unroot?
Unatumia software au hardware (nckdongle) kuandika IMEIKwanini ua'unroot?
Upo sawa kabisa anatakiwa afanye network repair kitaalam(patching certificate) na siku utakapoifanyia factory reset tatizo litarudi since simu itapoteza ile patch.Ili uweze kurepair network simu inahitaji super user ndio maana mnashauriwa kuroot ili kupata super user access ambayo inakusaidia kufanya deep modification ya system file.Zoezi la network repair(patching) halihusiani na imei repair.Tujitahidi kutii sheria bila shurti imei repair ni illegal nchini kwetuMkuu bila shaka hii simu yako uliinunua mtaani, tafuta fundi wa software aipatch certificate ili upate network, tofauti na hapo hakuna msaada mwingine. Inatakiwa hapo kwenye IMEI Status isome "OK."
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]Ooho hili tatizo la simu nyingi za samsung ukizifanyia factory reset bhasii shidaUpo sawa kabisa anatakiwa afanye network repair kitaalam(patching certificate) na siku utakapoifanyia factory reset tatizo litarudi since simu itapoteza ile patch.Ili uweze kurepair network simu inahitaji super user ndio maana mnashauriwa kuroot ili kupata super user access ambayo inakusaidia kufanya deep modification ya system file.Zoezi la network repair(patching) halihusiani na imei repair.Tujitahidi kutii sheria bila shurti imei repair ni illegal nchini kwetu
Ndio hivyo chief inabidi akifix asifanye factory reset atumie hvyo hivyo[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]Ooho hili tatizo la simu nyingi za samsung ukizifanyia factory reset bhasii shida
Mkuu Nina Huwawei c2281 inaniambia check UIM card nifanyejeKma huyu jamaa anaweza kuflash mwambie a download firmware ya SM A205FN AFR
mkuu acha kudanganya watu kuhusu IMEI repair, IMEI repair is not illegal but IMEI change.[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]Ooho hili tatizo la simu nyingi za samsung ukizifanyia factory reset bhasii shida
Si kweli hapa .Inawezekana ikawa fixed na hata akija kureset ikawa iko okayNdio hivyo chief inabidi akifix asifanye factory reset atumie hvyo hivyo
Kama hujafanikiwa kusolve nicheck pm nikurekebishieSawa boss
Hili tatizo linasababishwa na nn