Plan Radeem King
Senior Member
- Mar 25, 2018
- 198
- 127
- Thread starter
-
- #61
Fanya kwa muda afu usubiri ikigoma basi tatizo laini ishawahi nitokea nikawapigia huduma kwa wateja wakasema niende ofisini kwao wakalimaliza
Fanya kwa muda afu usubiri ikigoma basi tatizo laini ishawahi nitokea nikawapigia huduma kwa wateja wakasema niende ofisini kwao wakalimaliza
Then suluisho ni lile nililokuambia mwanzo kuhus CSC code. SER ni Russia unahitaji AFR ya Africa.Mbona imei checker imezitambua ni za A20?
Then suluisho ni lile nililokuambia mwanzo kuhus CSC code. SER ni Russia unahitaji AFR ya Africa.
Download Frija tool na Odin kwenye PC.Naipataje?
Ok. Mwambie azingatie hapo kwenye CSC code maana ndo inayoleta shida. Na a flash mafile yote sio portion ya AP tuThanks boss nitampa dogo anifanyie then nitakupa feedback
Ok. Mwambie azingatie hapo kwenye CSC code maana ndo inayoleta shida. Na a flash mafile yote sio portion ya AP tu
Ok. Mwambie azingatie hapo kwenye CSC code maana ndo inayoleta shida. Na a flash mafile yote sio portion ya AP tu
Bonyeza *#0011# chagua sim 1 au 2 leta screen shot tuendelee na msaada.Amani iwe nanyi
Nina simu yangu Samsung galaxy A20 Ina tatizo tajwa hapo juu. Kuna jamaa nilimpelekea Kariakoo anitatulie tatizo aliniweka town kutwa nzima jioni kanipa simu ipo fresh but baada ya siku tatu tatizo limejirudia tena!
Msaada jamani maana kwenda kushinda kutwa nzima tena kwa yule jamaa hell no.
Natanguliza shukrani
Bonyeza *#0011# chagua sim 1 au 2 leta screen shot tuendelee na msaada.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mkuu bila shaka hii simu yako uliinunua mtaani, tafuta fundi wa software aipatch certificate ili upate network, tofauti na hapo hakuna msaada mwingine. Inatakiwa hapo kwenye IMEI Status isome "OK."

Napingana na wewe kuhusu duplicated no. Ninachofahamu kama IMEI aina moja inatumika kwenye simu 2 tofauti huwa zinafungwa, ukitaka kuamini katafute public certificate. Hebu fikiria idadi namba zipo 15 ndani yake unaweza ukapata idadi ya devices ngapi?TCRA wakiamua kufatilia Duplicated IMEI wamezitoa wapi wanaweza kudakwa mafundi simu wa K/koo wote sema ndio hivyo TCRA wapo busy na wanaotukana serikali tu basi.
Hapa si mahala pake mkuu kuwa makini.Sawa boss
Hili tatizo linasababishwa na nn
Napingana na wewe kuhusu duplicated no. Ninachofahamu kama IMEI aina moja inatumika kwenye simu 2 tofauti huwa zinafungwa, ukitaka kuamini katafute public certificate. Hebu fikiria idadi namba zipo 15 ndani yake unaweza ukapata idadi ya devices ngapi?
Ni kosa kisheria kubadilisha IMEI NO.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hakuna kinachobadilika hapo, kinachofanyika ni kama kufungisha ndoa kati ya certificate na modem (kuifanya certificate itambuliwe na modem). IMEI hazibadiliki zinabaki zile zile.Boss ku parch certificate sio kosa kisheria?
Mm yangu inafanya hivyo ni week sasa yan mpaka utoe line na kuirudishaAmani iwe nanyi