Not registered on network

Akiweka imei number original ya simu yako haina shida. Sabab imei ya simu yako hakuna mtu mwingine mwenye nayo. Shida ni sasahivi hapo simu yako ina imei number ya mtu/simu nyingine

Nikicheki imei status baada ya kubonyeza *#0011#
Imei status ina onyesha NG
 
Umenunua ikiwa mpya?
 
Ndugu kwa samsung hiyo ni kawaida mi kila siku inanitoka...solution ni nenda sehemu ya setting,ingia sim card setting washa data afu chagua mtandao mfano mimi tigo iweke 4G option mtandao utarudi na data itasoma 4G pia
 

Attachments

  • Screenshot_20200712-105826.png
    19.9 KB · Views: 15
  • Screenshot_20200712-105915.png
    18.3 KB · Views: 15
Ndugu kwa samsung hiyo ni kawaida mi kila siku inanitoka...solution ni nenda sehemu ya setting,ingia sim card setting washa data afu chagua mtandao mfano mimi tigo iweke 4G option mtandao utarudi na data itasoma 4G pia fanya hivyo kwa laini nyingine

Yote nimefanya hayo but bila bila boss wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…