Plan Radeem King
Senior Member
- Mar 25, 2018
- 198
- 127
Piga *#06# uone kma IMEI number zipo
Ukiset Network manually je?? Inasoma. Alaf ebu tuma screenshot ya kwnye Settings->About Phone->Software Information.Imei numbers zipo fresh
Mbona network inasoma mkuu au naona vibaya?????
Hapo kewnye Service Provider Swr Version inaonesha kuwa ni A20FN_SER. CSC code ya SER ni Russia (so ilikua model ya Russia) kwahiyo inawezekana baadhi ya Band zinazotumika bongo hazipo. Kwa huku bongo zinatakiwa kuwa AFR kote au XEO or XEF ndo zinasoma network zote za bongo.
Samsung zinaoneshaga bar za network hata kma network haisomiMbona network inasoma mkuu au naona vibaya?????
Na Mimi Niko na tatizo kwenye simu inaonekana niliset out going call barring kwa hiyo nikipiga simu hazitoki nimejaribu kwenda kwenye setting kureset outgoing call baring inataka password sasa nimejaribu password nilizonazo zinagoma sielewi in password ipi inahitajika msaada tafadhaliHapo kewnye Service Provider Swr Version inaonesha kuwa ni A20FN_SER. CSC code ya SER ni Russia (so ilikua model ya Russia) kwahiyo inawezekana baadhi ya Band zinazotumika bongo hazipo. Kwa huku bongo zinatakiwa kuwa AFR kote au XEO or XEF ndo zinasoma network zote za bongo.
Je ilikua inasoma vizuri hapo nyuma? Au tangia umeipata ndo inafanya hvyo. Na je ni line zote zinazingua? Au hizo zako tu
Hapo kewnye Service Provider Swr Version inaonesha kuwa ni A20FN_SER. CSC code ya SER ni Russia (so ilikua model ya Russia) kwahiyo inawezekana baadhi ya Band zinazotumika bongo hazipo. Kwa huku bongo zinatakiwa kuwa AFR kote au XEO or XEF ndo zinasoma network zote za bongo.
Je ilikua inasoma vizuri hapo nyuma? Au tangia umeipata ndo inafanya hvyo. Na je ni line zote zinazingua? Au hizo zako tu
Ndiyo Samsung zilivyo. Mzee hiyo ni AP. Inabidi iflashiwe pia hakiki kama hizo imei zinaendana na zilizoandikwa kwenye simuMbona network inasoma mkuu au naona vibaya?????
Hapo kewnye Service Provider Swr Version inaonesha kuwa ni A20FN_SER. CSC code ya SER ni Russia (so ilikua model ya Russia) kwahiyo inawezekana baadhi ya Band zinazotumika bongo hazipo. Kwa huku bongo zinatakiwa kuwa AFR kote au XEO or XEF ndo zinasoma network zote za bongo.
Je ilikua inasoma vizuri hapo nyuma? Au tangia umeipata ndo inafanya hvyo. Na je ni line zote zinazingua? Au hizo zako tu
Hyo ni ya kuflash mzee. Kma una PC ya windows unaweza fanya mwenyew. Ukadowload firmware ukaflash na Odin. Kma huna PC hapo mpk uende kwa mtu mwenye huo uwezo. Mafundi wengi wa Kkoo wazushi, hawajui hayo mambo ya software.Boss chip zote zimekataa
Hyo ni ya kuflash mzee. Kma una PC ya windows unaweza fanya mwenyew. Ukadowload firmware ukaflash na Odin. Kma huna PC hapo mpk uende kwa mtu mwenye huo uwezo. Mafundi wengi wa Kkoo wazushi, hawajui hayo mambo ya software.

Me pia nilipata hili tatizo ila mimi ilikuwa haioneshi kabisa network bar kuna mwana wa Kkoo alinirekebishiaa sema aliiroot sasa natamani kutoa root naona kama tatizo litarudii aiseeeBoss jana nilimpa jamaa yangu hapa ninapoishi ameiflash na kuweka Android 10 tukiamini ita solve tatizo lakini bado lipo vile vile.
Tatizo lilianza ikiwa na Pie Android 9
Me pia nilipata hili tatizo ila mimi ilikuwa haioneshi kabisa network bar kuna mwana wa Kkoo alinirekebishiaa sema aliiroot sasa natamani kutoa root naona kama tatizo litarudii aiseee
Me ni J7 samsung..Boss simu yako ni kama hii?