Hata kama si yeye aliye wauwa lakini alikuwa anasapoti upande gani...? Ni kimbere mbere chake kilicho mpeleka kwenye nchi ambayo imeharibiwa na mabwana zake wa kimarekani na washirika wake. Alitegemea nini... kwani waAfghanistan walimwita au kumuomba msaada wake?
Wewe nawe hujui unacho kiongea...!Nawashangaa sana hawa wanaojiita mafundamentalists wanaoishi nchi za kimagharibi wakati wenzao wanaishi kwa mateso katika nchi zao huko afghanistan na kwengineko, halafu cha ajabu wanalilia uraia na kudai haki zote za watu wa west, si warudi kwao wakajenge nchi zao na kupingana na hiyo dhuluma wanayoilalamikia???!!>?:A S 39:
Sasa unataka kunambia nchi alikofia haipo vitani, masanilo vipi...!?Kiongozi Dr Karen hakuwa vitani bana!
Kwa uoni wako wale wanao ua wanawake, watoto, vikongwe na vijana kwako ndio watu bora wenye ilmu ya kimwili.japo hakuwa mtz lakn huyo dk amejitolea mhanga kwa ajili ya kusaidia maskini na imekuwa bahati mbaya kwamba ni umasikini/ujinga ndio uliosababisha kifo chake kutokana na hao watalibani kkupumbazwa na ilm roho ambayo haitoshi kumkamilisha binadamu.
Kujifunza kuna ruhusiwa....neno sahihi ni lipi? Salem ama Salema????
Unajua huyu Dr Karen Woo hakuwa hata anaamini Ukristo? Amehojiwa aliyekuwa amwoe wiki zijazo sasa hivi hapa na El Jazira
The family of a British doctor killed along with eight foreign aid workers in Afghanistan has rejected claims she was preaching Christianity to Muslims.
Karen Woo was among 10 people shot dead in the remote northeastern Badaskhshan province on Friday. Her body and those of seven others have arrived in Kabul for formal identification as police hunt for their killers.
The 36-year-old British medic, who was due to marry this month, was murdered along with six Americans and a German as they were returning from a medical camp. On Saturday the Taliban claimed responsibility, saying the group and their Afghan interpreters were "spying for America and preaching Christianity".
In a statement, Woo's family said her motivation was purely humanitarian.
"She was a Humanist and had no religious or political agenda," the statement read. "She wanted the world to know there was more than a war going on in Afghanistan, that people were not getting their basic needs met.
"She undertook this trek as a medical doctor, accompanying medical supplies and to provide treatment to people who lived in an extremely remote region who had little to no health care available. The Foreign Office confirmed the British doctor killed in Afghanistan was Dr. Woo, adding in a statement: "This is a deplorable and cowardly act which is against the interests of the people of Afghanistan who depended on the services she was bravely helping to provide."
Another militant group -- Hizb-e-Islami -- also has claimed its members carried out the attack on the convoy, which had been visiting the neighboring Nuristan province. Despite the two claims, Afghan authorities have said they believe robbery was a motive in the ambush.
Two Afghans also were killed in the attack, while one driver -- identified as Saifullah -- survived.
He was taken in for questioning by police. He told them the convoy was confronted by a group of armed men, who stole their money and belongings before lining up the victims and shooting them. Saifullah said he was spared because he began to recite verses of the Koran, proving to the militants he was a Muslim.
Source: FoxNews
NB:
Hii imesikitisha sana, hawa jamaa wamemuua huyo Dr aliyekuwa anawasaidia watu waliokuwa kwenye mazingira magumu kiafya. Sababu za kijinga ati alikuwa analeta ukiristo! Kwa Uislam ni mauwaji?????
I think you mean this world would be a better place without guns and bombs:confused2:Mhhh this world could be a nice place to live without these Islamic fundamentalists! ugaidi wao, uuwaji bila sababu wao ......kazi kweli kweli
Na kasema pia kwamba she was prepared for anything to happen, hivyo unapoenda msituni na hasa Serengeti kwa miguu usitegemee Simba watakuacha ati wa sababu wewe ni binadamu. na maajabu ya Binadamu its OK kwao kuua Simba lakini sio Simba kumuua binadamu ndani ya mbuga zake!Kujifunza kuna ruhusiwa....neno sahihi ni lipi? Salem ama Salema????
Unajua huyu Dr Karen Woo hakuwa hata anaamini Ukristo? Amehojiwa aliyekuwa amwoe wiki zijazo sasa hivi hapa na El Jazira
Wanapo uliwa watoto na wanawake wa KiAfghanistan, hatusikii hata vyombo vya habari vikiripoti matukio hayo.
REV. Masanilo, ebu tukumbushe namna dini zilivyokuja africa.........ili tupime huyu mama alikuwa kule kwa mission gani......am sorry lakini
Wanapo uliwa watoto na wanawake wa KiAfghanistan, hatusikii hata vyombo vya habari vikiripoti matukio hayo.
Sina uhakika kama unajua unacho kiongea, wacha chuki na jazba pembeni... iwache busara zitawale akili yako na macho yako yatafunguka na kuona ukweli na hali halisi ya mambo.Kwa hiyo huwa unapata taarifa kwenye misaafu au..........
Kiongozi Dr Karen hakuwa vitani bana!
Ila majonzi kwa WaAfghanistan huna, maana wale si binadamu...!