Hizo sera zenu za kumnyamaziha kila asiyekubaliana na upuuzi wenu kwangu hazifanyi kazi. Jifunge mabomu uje uone kama hayajakulipukia kabla hujanifikiaWewe ndio ujui unacho ongea wala ujui nini unacho tetea bora unyamaze kimya...!
Mkuu neno sahihi ni "SALAM" kutoka kwenye mzizi au shina s-l-m... Lakini ili neno haswa limetoka kwenye verb Aslama.... which means "to accept, surrender or submit." Thus, Islam means acceptance of... and submission to God...!Kujifunza kuna ruhusiwa....neno sahihi ni lipi? Salem ama Salema????
Unajua huyu Dr Karen Woo hakuwa hata anaamini Ukristo? Amehojiwa aliyekuwa amwoe wiki zijazo sasa hivi hapa na El Jazira
Wewe upo kwenye giza la kiakili so sina muda wa kujibishana na mtu asiyejuwa nini anaongea... pole sana.Hizo sera zenu za kumnyamaziha kila asiyekubaliana na upuuzi wenu kwangu hazifanyi kazi. Jifunge mabomu uje uone kama hayajakulipukia kabla hujanifikia
Mkuu neno sahihi ni "SALAM" kutoka kwenye mzizi au shina s-l-m... Lakini ili neno haswa limetoka kwenye verb Aslama.... which means "to accept, surrender or submit." Thus, Islam means acceptance of... and submission to God...!
Huyo mama amekutwa na maswahiba hayo kwa kuwa alikuwa wrong place at the wrong time...!
Shukrani! Nililishwa sumu Salam na Salema!
Ni kweli Dr Karen was in a very wrong Place. She was not preaching Christianity.... so sad, no religion or political agenda on her deeds
Salama Mkuu ulipotea sana kama mkojo wa jogoo! ama kura za maoni zilikukimbiza?
Pole sana Kiongozi naona kambi yako Dr Mwakyembe aliipiga chali
What are you talking Masanilo...!?Haya kaka Peace! haya nini msimamo wako na hawa jamaa kumuuwa huyo Dr kwa sababu za kiislamu?
Haya kaka Peace! haya nini msimamo wako na hawa jamaa kumuuwa huyo Dr kwa sababu za kiislamu?
Bado sijaelewa motive ya kuuwawa huyu Dr Karen!
Xpaster
Nina rafiki na jamaa wa Kiislam, wanamioyo mizuri sana na mara zote wanachukia waislam wanaofanya mauwaji kwa kisingizio cha dini...nachukia hawa fundementalist maana nadhani wanaenda kinyume na uislam wa kweli. Islam ni neno la kiarabu lililotokana na "Salema" which means peace, purity, submission and obedience. Hata Mzanzibar wangu hapendi hawa wanaotumia upanga kuuwa kusingizia imani.
Si huwa wanasema kuwa vita havina macho!Mkuu hujanijibu ulizo langu yakhe, why killings?