Not for weak heart

Not for weak heart

Nish

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
730
Reaction score
114
Jamaa kahisi kiu akaomba maji kwenye nyumba moja mtoto akamletea maziwa jamaa akanywa fasta kisha akamuuliza mtoto kwa nini amempa maziwa mtoto akasema panya alidumbukia hivyo hawayahitaji jamaa akashtuka akadondosha glass mtoto akapiga kelele mamaa ile glass ya bibi ya kutemea mate imepasuka jamaa lo! akazirai hapo hapo
 
haya bwana ila kama umetoa kwenye mchezo flan wa kwenye tv.
 
Yeah..ni kutoka zecomed ya east africa tv, mtanga ndiye aliigiza hii part

Kuna wengine hawana mda wa kuangalia tv lakini jf wanapat issue kama hz
 
ha ha h ah ah ah ah aha h aha ha ha haha umevunja mbavu
 
Kuna wengine hawana mda wa kuangalia tv lakini jf wanapat issue kama hz

Kweli bana me mwenyewe huwa sipati muda wa kuangalia tv lakn nimeinjoy ile mbaya. Jf raha sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom