Kweli ubongo ni kiungo cha mwili strong sana. Ukisikiliza old songs feeling unayoipata sio sad kwa asilimia zote, kuna namna fulani unajihisi furaha lowkeyIssue hapo sio tu kupenda hizo nyimbo pekee bali zinakupa feeling pia kua umri umesonga,tofauti na wakati ule ulipokua unazisikiliza,nyimbo tuzipendazo hua ni connection na matukio tuliyo yapitia,
Hearing old music triggers sadness because it activates the brain's amygdala and hippocampus, which store memories and emotions, acting as a "time machine" to the past,
Don't be sad,
Love the life you live
Live the life you love.
We mzeeMie hapa saizi nasikiliza jogoo la shamba hakiwiki mjini....😜
Hili pini nalirudia tangu asubuhi, ngoja niongeze mbili za baridi...🍻
Playlist yangu ina nyimbo za rnb na Hip-Hop kuanzia 1990-2007 maybe 2010. Uzuri nyimbo hizo zinanikumbusha good times wakati niko kijana.Hii weekend kiukweli nimejikuta zikisikiliza nyimbo ambazo niliwahi kuzipenda miaka ya 2016 hadi 2020 na nyingine si hata za muda sana, hadi za 2022 hapo. Dah, nikisikiliza nyimbo hizi zenye miaka takribani 10 sasa najikuta napata hii sad pleasure
These were good old days, nilikuwa napenda mziki kuliko kitu chochote
Leo nipo free nimekuwa nikirudia kusikiliza hii nyimbo on Repeat mode, mfululizo
Post Malone ft Quavo- Congratulations 🥲
View attachment 3583767
na hizi nyimbo za sasa, pia miaka 10 baadae huko na zenyewe utajikuta unazisikiliza na zinakupa hiyo nostalgic feeling.Kweli ubongo ni kiungo cha mwili strong sana. Ukisikiliza old songs feeling unayoipata sio sad kwa asilimia zote, kuna namna fulani unajihisi furaha lowkey
Nyimbo za sikuhizi ni mojamoja sana zinazonifurahisha na huwa sichelewi kuchoka kuzisikiliza, ila za 6-10 years ago naweza kurudia hata mara 50
For sure, life is beautiful ❤️
Kwamfano tumekutana njiani nikakuita...🤗We mzee
Aanh so kweli! Ua nikaoande au nilifanyie nini? Na nikutafute ili unipandie shamba au?😃Kwamfano tumekutana njiani nikakuita...🤗
Nikakuzungusha 360...🫣
Nikaachia tabasam....☺️
Nikakupatia ua....🌹
Alafu nikaondoka huku nikijifanya ninaharaka..... baada ya hapo njoo utoe ushuhuda kama hajanitafuta...😜
Dahhh.....😪Aanh so kweli! Ua nikaoande au nilifanyie nini? Na nikutafute ili unipandie shamba au?😃
Hisia gani unapata ukisikiliza hizo nyimbo!!Playlist yangu ina nyimbo za rnb na Hip-Hop kuanzia 1990-2007 maybe 2010. Uzuri nyimbo hizo zinanikumbusha good times wakati niko kijana.
Mkuu ni kipi hakieleweki nikisema good times nikiwa kijana? Nikiwa specific haters watasema kujimwambafai wewe elewa tu nyimbo hizo zinanikumbusha ujana ambao ulikuwa mzuri.Hisia gani unapata ukisikiliza hizo nyimbo!!
Najua tuko na watoto wetu humu. Google music group Black Box,Technotronic,C+C Music Factory nyimbo zao tumecheza kwenye sherehe za kipaimara na komunio.Meanwhile mimi hiyo before year 2000 nilikuwa bado sijazaliwa 😅
ni kweli, naomba nikusindikize na kipande hiki cha "Nu Shooz – "Should I Say Yes" (1985)Hii weekend kiukweli nimejikuta zikisikiliza nyimbo ambazo niliwahi kuzipenda miaka ya 2016 hadi 2020 na nyingine si hata za muda sana, hadi za 2022 hapo. Dah, nikisikiliza nyimbo hizi zenye miaka takribani 10 sasa najikuta napata hii sad pleasure
These were good old days, nilikuwa napenda mziki kuliko kitu chochote
Leo nipo free nimekuwa nikirudia kusikiliza hii nyimbo on Repeat mode, mfululizo
Post Malone ft Quavo- Congratulations 🥲
View attachment 3583767