Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Feb 11, 2014 13,997 15,111 Feb 3, 2016 #10 Utawaudhi Vibaraka wa Magharibi,US,UK !!!
Mgirik JF-Expert Member Apr 27, 2013 13,208 13,233 Feb 3, 2016 #11 Halafu washirika wa Us wanaiita north korea ni nchi maskin. Hawa jamaa wananishangaza sana,
Pancras Suday JF-Expert Member Jun 24, 2011 8,141 3,834 Feb 3, 2016 #12 Kuzuri sana ila sheria za kule ni bora niishi hapa Tz tu!
JembePoli JF-Expert Member Jul 14, 2015 1,324 995 Feb 3, 2016 #13 Huku ndio kwa yule Rais anaenyoa panki la kiduku..
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Feb 4, 2016 #14 Mgirik said: Halafu washirika wa Us wanaiita north korea ni nchi maskin. Hawa jamaa wananishangaza sana, Click to expand... Inategemea na kipimo wanachotumia kupima umaskini. Kama ni majengo, au barabara au maisha ya mtu mmoja mmoja......n.k
Mgirik said: Halafu washirika wa Us wanaiita north korea ni nchi maskin. Hawa jamaa wananishangaza sana, Click to expand... Inategemea na kipimo wanachotumia kupima umaskini. Kama ni majengo, au barabara au maisha ya mtu mmoja mmoja......n.k
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Feb 4, 2016 #15 Hawa jamaa watakuwa wwanafanya usafi kila siku, sio jumamosi kama sisi!
Werrason JF-Expert Member Nov 5, 2014 12,325 38,200 Feb 7, 2016 #16 Raia wake naskia wanatani kutorokea South Korea.