Kuna Lijamaa linaongoza hivi vyote.....
1.Strong Military,
2. Advanced technology,
3.Strong economy,
4.Geopolitics influence,
5.Multi-donor
Kama kuna "Kiinchi" kinamkaribia bwana yule hata nyanja moja hapo juu( hasa no. 3) basi inasemekana lijamaa likisinzia basi miongo kadhaa huko mbele kitakua "supapawa" otherwise mnapiga story za mgahawani tu..