North Korea 'Fires Three Ballistic Missiles'

North Korea 'Fires Three Ballistic Missiles'

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,427
Korea ya Kaskazini yarusha makombora matatu angani Kaskazini mwa jimbo la Hwanghae.

==========

North Korea has fired three ballistic missiles into the sea off its east coast, South Korea has said. The South claimed

the show of force was timed to coincide with the G20 summit in neighbouring China.

wqwq.jpg

Seoul said the missiles were fired into the Sea of Japan from the North's Hwangju county at around 3am (GMT).

"They are speculated to be Rodong missiles with a range of 1,000km (600 miles) and were fired without navigational warning to Japan," said a defence ministry spokesman.

"North Korea's ballistic missile launch is a direct violation of UN Security Council resolutions aimed at showing off its nuclear and missile capabilities during the G20 summit," he added.

The North regularly engages in missile and rocket tests, especially when the world's eyes are turned to northeast Asia. World leaders have gathered for the G20 in the city of Hangzhou in eastern China, which is the North's only major ally.

The launch of the missiles came hours after the leaders of South Korea and China met on the sidelines of the summit.

During the meeting South Korean President Park Geun-hye criticised the North for what she called provocations that are hurting ties between Seoul and Beijing.

Source: SKY News
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Lazima utasikia Japan,Korea Kusini na Marekani wanalaani halafu hakuna kinachoendelea
 
North Korea anatengeza mazingira ya umwamba katika maeneo ya mashariki ya mbali.Iko siku atadai wamsujudie vinginevyo...........
 
N Korea ni waoga watu waoga wana dalili za kujidefend
Hawa ni wakuwapuuza
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Safi sana N Korea,wasikubabaishe hao mabinti hawana lolote, after two days tunataka urushe yale makubwa zaidi...pumbaff
 
Waoga tu hao kwani wangekua na uwezo wangepiga nchi yoyote kama Japan waone mziki
 
kama yeye kidume hayarushe kwenye ardhi ya japan au marekani

Ayarushe kwenye ardhi yao bila kuchokozwa..inaingia kweli akilini?

Pia tangu ameanza kuyatestia baharini kuna nchi yeyote imethubutu kumgusa? Marekani na kujitapa kwake mbona kashindwa kufanya chochote,kabakia kupiga kelele to, UN na yenyewe vikao haviishi kila day lkn jamaa hajali anaendelea na Test zake kama kawa......
 
Badala apambane na njaa ya Wananchi wake anahangaika na makombora
 
  • Thanks
Reactions: MC7
N Korea ni waoga watu waoga wana dalili za kujidefend
Hawa ni wakuwapuuza

Je, Mataifa makubwa yanayo hunda silaha mpya za maagamizi kila kukicha nazo tuziiteje - kwamba wanajiamini au na wao ni woga?

Korea ya kasikazini imewahi kumvamia nani tangu vita vya wenyewe kwa wenyewe 1950 - 1953. Korea kusini imewahi kurusha roketi kama hizo mbona Dunia ilikaa kimya, Japan nayo vile vile mbona sikumsikia Kim Moon au nchi za magharibi zikilalamikia majaribio ya nchi hizo mbili - why pick on North Korea?

Je, wao hawana haki ya kujiendeleza kisayansi/teknolojia hiwe kuhunda roketi za kurusha artificial satellites kwenye outer space kitu ambacho wanefanikiwa kukifanya against all odds au kujaribu kuhunda ICBM na actually ni Mataifa machache yamefakiwa katika nyanja hizo tajwa hapo juu, badala ya Dunia kuwapongeza kwa kurusha satellite badala yake wanawashutumu na kuwa sema sema hovyo, kibaya zaidi hata baadhi ya Nchi za Dunia ya tatu nao wanajingiza kwenye propaganda za kuchongwa na wakoloni mamboleo.

Jana ndiyo nilishangaa zaidi baada ya Obama kudai eti Korea Kasikazini haina uwezo kitekinolojia wa kurusha roketi kutoka ndani ya Submarine eti roketi/makombola hayo wanapewa na Uchina!!!

Nchi za magharibi zinazo dai kwamba wana sayansi/Engineers wa Korea Kasikazini ni mbumbumbu kesho yake utawasikia wanalalama kwamba wataalamu wa Tehama wa Korea kasikazini wanefanikiwa kuingilia mifumo ya Pentagon na viwanda vya kuhunda silaha na kuwaibia/copy mafaili yenye taarifa za siri - mtu unabaki unajiuliza maswali mengi: Imekuwaje tena wanasayansi wa Korea Kasikazini ambao udaiwa/bezwa na nchi zilizo endelea kwamba ni wataalamu uchwara wafanikiwe kuingilia an impregnable Pentagon na viwanda vya kuhunda silaha/ndege za vita nchi Marekani!!!
 
Hizo silaha na ulinzi kwa taifa ni kipaumbele chao hawa wameshajifunza baada ya Korean war 1950 - 1953 mnaowaulumu N.Korea anzeni kwanza kwa USA na washirika wake wanaofanya mazoezi ya kivita mpakani mwa N.Korea kila kukicha.

Hivi Malawi au Rwanda ikija kule mpakani mwa Tanzania na kuanza kufanya mazoezi makali ya kijeshi Watanzania mtafurahia hilo?

N.Korea walishasema wanafanya hayo yote kulinda uhai na uhuru wa taifa lao na wanasubiri tuu kuchokozwa na manyang'au so hili taifa linajua linachokifanya.
 
Back
Top Bottom