North Korea experiencing severe Internet outages

North Korea experiencing severe Internet outages

So whodunit?

Some Anonymous wannabee. Probably chuckling to death over bumping two nuclear powers heads.

Internet ya North Korea hata mimi na machizi wangu tukitaka kuipiga DDOS tunaipiga. The whole country has 1024 internet pingable IP addresses. That number is like four class C IP networks! The kind you use at home.

All that with a single uplink to the internet.Kill that one uplink and the whole countrys internet is down.Tanzania was doing waay better than this.In the year 2000. These people are hardly tech savvy.

That's less than a midsize US corporation.

Halafu watu wanaipa North Korea more credit than is due kuhusu their capability ku hack Sony (granted, Sony'S defences are hardly the most rigorous).

It reminds me of the myth of the mighty Red Army back in the Cold War days.

Baadaye in college kuna professor mmoja alikuwa kipanga wa Red Army aka defect to US kufundisha Computer Science, alikuwa anatupa stories za Red Army anatuambia huku nje ya Russia Red Army ilikuwa inasifika, kule kwao walikuwa wanashindwa hata kutoa vifaru kwenye tope!
 
Some Anonymous wannabee.

Internet ya North Korea hata mimi na machizi wangu tukitaka kuipiga DDOS tunaipiga. The whole country has 1024 internet pingable IP addresses.

That's less than a midsize US corporation.

Well, since these cyber attacks are largely covert actions, I'm not gonna put it past anybody.

However, you are right about NK's IPs.

It's laughable.

The US can wipe it off the face of the earth in no time if they really wanted to.
 
Wanahangaika bure ..si waje zantel wapewe internet na hiZo pingable nini sijui alizosema kiranga
 
nadhani north korea watakua wamesaidiwa na wachina.. kwenye tech hawa jamaa wao kama wao wako nyuma sana, hata weapons zenyewe software za kucontrol wanapigwa taf moja kubwa sana na china.. afu na net yao ile kusema wachakachue kampuni kama Sony ni ndoto za mchana hizo..
 
Halafu watu wanaipa North Korea more credit than is due kuhusu their capability ku hack Sony (granted, Sony'S defences are hardly the most rigorous).

Na siyo kwenye uwezo wa ku hack tu.

Hata kwenye uwezo wa kijeshi mbele ya Marekani ni a complete mismatch.

Majeshi ya Kim hayana uwezo wa kwenda toe to toe na majeshi ya Marekani.

Ila kuna sehemu moja tu ambapo nadhani North Korea hawana mpinzani: propaganda na fiery rhetoric.

Kila nikisoma statements zao kuhusu watakachoifanyia US huwa nacheka sana.

I must admit they have some very good writers.
 
Wanafundishwa propaganda tangu shule ya msingi.
 
Hah hah hahahaaaaaàa,Kim jong hun tulia dogo mkubwa ni mkubwa
 
How do you know it was sarcastic?

Are you the same person as the one who wrote it?

I have no idea what you talking about... i dont know who posted this..its in plain view... te comment was sarcastic. . I fail to undertand why you didnt see it
 
I have no idea what you talking about... i dont know who posted this..its in plain view... te comment was sarcastic. . I fail to undertand why you didnt see it

Typical ignoramus jibber jabber.
 
Na huyo bwana mdogo eti hataki watu wengine wawe na jina kama lake!

1419379544647.jpg 1419379556530.jpg 1419379571765.jpg
 
Wote N.Korea na USA ni wababaishaji.....wataingia vitani kisa eti "movie"....wote wana propaganda za kishenzi........tunawashangaa sana!!
 
Back
Top Bottom