kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 484
Kama alikuwa kazoea kwenda Spankwire au Xhamster leo imekula kwake.
Sitashangaa tukija kusikia kaamuru IT techs wake wote wauliwe halafu kama inavyodaiwa aliagiza kwa yule sijui mjombae au dingi yake mdogo.
Kwani huwa anaamka tu na Kutaka watu wauliwe? Kisa ni yule baba yake mdogo? Hivi Edward Snowden yuko wapi siku hizi!? Hasemwi wala hajisemi sijui kakimbia nini wakati alisema ukweli au aliogopa kuuwawa na wale majasusi watesaji wa CIA? ila wale hawaui raia wao wanawaendea kina sadam na osama.
Mpaka sadam hussein anakata roho osama alikuwa anasadikika kuwa amejificha. He was a terrorist bombed a building killing 3500 Americans. The Americans did very same thing ambacho alshabab anakifanya leo Kenya. KDF walifanya uvamizi kwenye udongo wao na wao wanaharibu udongo wa Kenya. Hivi vita dhidi ya ugaidi imeua wangapi hadi leo? Serikali ya kim imetoa hukumu kwa mtu aliyekosa. America imeua mamia kwa maelfu ya watoto, wazazi tegemewa kwa family zao, maraisi, wasomi wa nchi mbali mbali.... Bado kim anaitwa muuaji mbele ya watu hawa,bado tupo tunaorusha lawama juu ya utawala wa kim na kusahau kuwa kim hajawahi tuma drones kwenda Libya kumuua Gaddafi, kim anashutumiwa na watu tunamchora na kumtusi kwa shutuma ambazo binafsi amezikataa zakuhack mtandao wa Sony ilhali Snowden katoka kusema juzi tu juu ya ushenzi wa NSA wapi tunapewa nguvu hii ya kuona kwa jicho moja? Tuna maslahi gani kwa mmarekani?
Kama nchi inayoendelea nadhani lazima tuamini kuwa linalomkuta dprk litatukuta na sisi. Kama si kupakwa matope na medias za us basi tutavamiwa kama kuku na kuchinjwa kisha wataondoka...