North Korea experiencing severe Internet outages

North Korea experiencing severe Internet outages

Propaganda hizo baada ya kupigwa na north korea sasa wanatapatapa inawezekana vp nchi kama usa inayojitapa kama ni bingwa wa technology wakapigwa na north korea ni fedheha, sasa wanajinasibu na wenyewe wamelipa kuficha fedhea

US imepigwaje na NK?

Hakuna agency ya US govt. iliyokuwa hacked na NK.

Hakuna.
 
US imepigwaje na NK?

Hakuna agency ya US govt. iliyokuwa hacked na NK.

Hakuna.

Kwani mkuu sony pictures ni kampuni ya wapi ?, ingawa sony ni private company how comes us govt inajiassociate na hiyo cyber attack. Kama sio kutaka kuficha udhaifu wao wakuruhusu hiyo cyber attack.

Us govt inahucka kwa namna moja au nyingine kufadhiri au kunufaika na content za hyo movie thats why hyo cyber attack imewa pain
 
Kwani huwa anaamka tu na Kutaka watu wauliwe? Kisa ni yule baba yake mdogo? Hivi Edward Snowden yuko wapi siku hizi!? Hasemwi wala hajisemi sijui kakimbia nini wakati alisema ukweli au aliogopa kuuwawa na wale majasusi watesaji wa CIA? ila wale hawaui raia wao wanawaendea kina sadam na osama.

Mpaka sadam hussein anakata roho osama alikuwa anasadikika kuwa amejificha. He was a terrorist bombed a building killing 3500 Americans. The Americans did very same thing ambacho alshabab anakifanya leo Kenya. KDF walifanya uvamizi kwenye udongo wao na wao wanaharibu udongo wa Kenya. Hivi vita dhidi ya ugaidi imeua wangapi hadi leo? Serikali ya kim imetoa hukumu kwa mtu aliyekosa. America imeua mamia kwa maelfu ya watoto, wazazi tegemewa kwa family zao, maraisi, wasomi wa nchi mbali mbali.... Bado kim anaitwa muuaji mbele ya watu hawa,bado tupo tunaorusha lawama juu ya utawala wa kim na kusahau kuwa kim hajawahi tuma drones kwenda Libya kumuua Gaddafi, kim anashutumiwa na watu tunamchora na kumtusi kwa shutuma ambazo binafsi amezikataa zakuhack mtandao wa Sony ilhali Snowden katoka kusema juzi tu juu ya ushenzi wa NSA wapi tunapewa nguvu hii ya kuona kwa jicho moja? Tuna maslahi gani kwa mmarekani?

Kama nchi inayoendelea nadhani lazima tuamini kuwa linalomkuta dprk litatukuta na sisi. Kama si kupakwa matope na medias za us basi tutavamiwa kama kuku na kuchinjwa kisha wataondoka...

Kama mtu mpenda haki hawezi kuufurahia unyama wa US ndani ya dunia hii, mm nimeumia sana walichotufanyia kule Libya kwa Waafrika wenzetu.
Walikuwa wakiishi kwa amani na furaha, leo hii vyote vimeondoka.
 
fat boy little Kim Jong-un, stay away from america,she is above your level.

42170_01_pres-obama-united-states-cyberwar-north-korea.jpg

Hii upande wa pili anaamkiwa hivi
 

Attachments

  • 1419317041262.jpg
    1419317041262.jpg
    36.3 KB · Views: 200
Hawa wajifunze kwanza kulima ili wawalishe watoto wao wenye utapia mlo ili wakapigane na wamarekani
 
On a more serious note, sidhani kama hata Wakorea wengi wataathirika na hiyo outage kwa sababu wengi wao hawana access na mtandao.

Inasemekana huko NK kuna Internet Protocols 1024 tu wakati Marekani kuna mabilioni ya hizo protocols.

So just to put things into perspective, not a whole lot of folks will be affected there in the Hermit Kingdom.

They can't even feed themselves for Pete's sake!

Those Americans you bitterly defend here are even worse.....they are the aggressors and they started by kukosea a sovereign country heshima(whether its a dictatorship or not-US isn't any better)....with that said no body asked them to insult a whole "people and their leader"-as per their laws.....hizi tabia mabwana zako wamezoea sana.....haya mkaanzishe war because of your silly propagandas/movies????.....inasmuch wanakuona tu kama nyani jinsi ulivyo na weusi wako hata ukiwa defend miaka nenda rudi.
 
Huyo propaganda mouth piece wa US aache kubwabwaja.......lakini wakijaribu kuleta uvundo wao wa ubaguzi,kuwaua weusi,kuua watu na drones,kuchochea vita na machafuko na tabia zao za "my effn "d**##k" is bigger than yours ----"na kujiona exceptional n.k kule pyongyang Mchina atamchapa bakora za matakoni hata hivyo vijikaratasi vyao eti dollar tutavitia kwenye taka.......time to use gold and Yuan as legal standard.
 
Kwani mkuu sony pictures ni kampuni ya wapi ?, ingawa sony ni private company how comes us govt inajiassociate na hiyo cyber attack. Kama sio kutaka kuficha udhaifu wao wakuruhusu hiyo cyber attack.

Us govt inahucka kwa namna moja au nyingine kufadhiri au kunufaika na content za hyo movie thats why hyo cyber attack imewa pain

Sony Pictures ni subsidiary ya Sony, kampuni ya Kijapani.
 
Sony Pictures ni subsidiary ya Sony, kampuni ya Kijapani.

Mkuu ata kama sony pictures ni subsidiary ya sony japan bado hiyo attack imeonesha weakness kwa upande wa usa kushindwa kudhibiti kitu kama hicho kisitokee especially from your worst enemy.

NK kupitia hiyo attack wamesend msg kwa usa kuwa we have the capability to hit you anytime
 
Mkuu ata kama sony pictures ni subsidiary ya sony japan bado hiyo attack imeonesha weakness kwa upande wa usa kushindwa kudhibiti kitu kama hicho kisitokee especially from your worst enemy.

NK kupitia hiyo attack wamesend msg kwa usa kuwa we have the capability to hit you anytime

Sony ni kampuni binafsi hivyo mambo ya cyber security ni jukumu lake, na si la serikali ya Marekani.

Na hata uamuzi wa kutoionyesha hiyo movie kwenye theaters ni wake (SONY). Haukuwa uamuzi wa serikali ya Marekani.

Now, if they hit the NSA, FBI, or CIA's website, I'd be ready to admit then that they mean business.

But until then, mtoto wa Kim Jong Mentally Ill hajaonyesha uwezo wowote ule wa ku penetrate system ya Marekani.
 
fat boy little Kim Jong-un, stay away from america,she is above your level.

42170_01_pres-obama-united-states-cyberwar-north-korea.jpg
korea wanapoteza muda wao. hapo ni sawa na Rwanda kuitishia Tanzania, ndio korea kuitishia marekani. it will only take few days to terminate pPyongyang Tanzania will have a very easy job to terminate kigali as well.
 
[h=3] North Korea's internet is down. You go, USA![/h]
If you've been following the Sony, North Korea and the US government saga then you should know what this is about. But let me give a brief summary because I'm about to board a flight.

Sony Pictures released a movie called The Interview, a comedy about a fictional assassination of North Korean leader, Kim Jong Un.. North Korean didn't find it funny and hacked into Sony's computers, rendering thousands of computers inoperable and forced Sony to take its entire computer network offline. That wasn't enough, they then threatened terror attack on US citizens if Sony doesn't cancel showing the movie, forcing Sony to pull the interview from theaters and losing almost $200m. Then the US govt got involved and told Sony to go ahead and release the movie, that they don't take lightly to threats and promised to retaliate for the attack on Sony. It looks like they've kept their to promise. North Korea is currently offline. Lol
"Internet connectivity between North Korea and the outside world is currently suffering one of its worst outages in recent memory, suggesting that the country may be enduring a mass cyber attack a few days after President Obama warned the US would launch a "proportional response" to North Korea's hack against Sony
North Korea, which has four official networks connecting the country to the Internet -- all of which route through China -- began experiencing intermittent problems yesterday and today went completely black, according to Doug Madory, director of Internet analysis at Dyn Research in Hanover, New Hampshire." Bloomberg reports.
I find this so hilarious! Moral of the story, don't mess with the US. Will be MIA for a few hours... traveling out of the country. See you guys soon!



credit: mitandao mbalimbali ya habari
 
1. Sony haijawa hacked na North Korea.
2. Marekani haijaicrash internet access ya North Korea.
3. Almost everybody is overreacting.
 
America is looking for an excuse to hit on North Korea.
 
Kumbukumbu yangu inanambia NK ilishatuumiwa kuwa na mtambo wa kutengeneza fake dollar...hawa jamaa ni pasua kichwa...kinachoendelea ndani ya nchi yao nobody knows..maana ana wataalamu wa kila idara...

Na vile vile wanafanya biashara ya madawa ya kulevya...(serikali hiyo) ili kuwa na kipato
Ila sina uhakika kama hizi shutuma ni za kweli or not...
Siku hizi nime learn kuwa makini...dunia imejaa propaganda...


Huyo propaganda mouth piece wa US aache kubwabwaja.......lakini wakijaribu kuleta uvundo wao wa ubaguzi,kuwaua weusi,kuua watu na drones,kuchochea vita na machafuko na tabia zao za "my effn "d**##k" is bigger than yours ----"na kujiona exceptional n.k kule pyongyang Mchina atamchapa bakora za matakoni hata hivyo vijikaratasi vyao eti dollar tutavitia kwenye taka.......time to use gold and Yuan as legal standard.
 
Back
Top Bottom