golden ratio
Member
- Dec 25, 2015
- 85
- 38
Binadamu siku zote huogopa asichokijua au kuelewa ila kwa dunia ya sasa elimu imetufungua macho na akili sidhani Kama kuna mnyama ambaye hafugikiKiasili nyoka si mnyama wa kufugwa na hata katika maandiko tumeambiwa cha kumfanya tukikutana naye naye akikutana nasi. ...sasa unapokutana na mtu kafanya kolabo na huyo mdudu kuna maswali mengi kuliko majibu
Ni kweli lakini mimi nimesimama kwenye mtazamo wa kiimani zaidiBinadamu siku zote huogopa asichokijua au kuelewa ila kwa dunia ya sasa elimu imetufungua macho na akili sidhani Kama kuna mnyama ambaye hafugiki
Yaoneni hivyo hivyo hayo majoka mkiaminishwa ni ya mcheza ngoma
Hizo ni roho za kuzimu na zina mambo yake usiku asiyeamini aende siku moja akalale nao
Bila nyie sisi si kituWewe na MziziMkavu mnatisha....kweli JF ni chuo kikuu cha elimu dunia. Mungu awabariki milele.
Nyoka hana ubaya wowote ule,labda mfugaji mwenyewe huyo ni kiumbe kama viumbe wengine katika kingdom ya animalia.Kiasili nyoka si mnyama wa kufugwa na hata katika maandiko tumeambiwa cha kumfanya tukikutana naye naye akikutana nasi. ...sasa unapokutana na mtu kafanya kolabo na huyo mdudu kuna maswali mengi kuliko majibu
Wewe na MziziMkavu mnatisha....kweli JF ni chuo kikuu cha elimu dunia. Mungu awabariki milele.
Kumbe mzizimkavu ndio wewe.Bila nyie sisi si kitu
Naomba tukubaliane kitu kimoja tuyakodi hayo majoka kisha tutafute chumba ulale nayo usiku mmoja tu tena yakiwa kwenye maboksi yake...nitalipa mimi gharamaNyoka hana ubaya wowote ule,labda mfugaji mwenyewe huyo ni kiumbe kama viumbe wengine katika kingdom ya animalia.
Wewe na MziziMkavu mnatisha....kweli JF ni chuo kikuu cha elimu dunia. Mungu awabariki milele.
Hebu rudia tena kusoma kilichoandikwaKumbe mzizimkavu ndio wewe.
Naomba tukubaliane kitu kimoja tuyakodi hayo majoka kisha tutafute chumba ulale nayo usiku mmoja tu tena yakiwa kwenye maboksi yake...nitalipa mimi gharama
Bila nyie sisi si kitu
Nikupm unipe story????Yaoneni hivyo hivyo hayo majoka mkiaminishwa ni ya mcheza ngoma
Fuga na kunguruBinadamu siku zote huogopa asichokijua au kuelewa ila kwa dunia ya sasa elimu imetufungua macho na akili sidhani Kama kuna mnyama ambaye hafugiki
Sasa ndo unaandika Nn?Fuga na kunguru
Wageuze njiwa.
Fuga na fis wageuze mbuzi.
[emoji38] [emoji38] [emoji39] [emoji23]