golden ratio
Member
- Dec 25, 2015
- 85
- 38
Binadamu siku zote huogopa asichokijua au kuelewa ila kwa dunia ya sasa elimu imetufungua macho na akili sidhani Kama kuna mnyama ambaye hafugikiKiasili nyoka si mnyama wa kufugwa na hata katika maandiko tumeambiwa cha kumfanya tukikutana naye naye akikutana nasi. ...sasa unapokutana na mtu kafanya kolabo na huyo mdudu kuna maswali mengi kuliko majibu
