NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

mlata ni mtu mwenye akili zake. hawezi kusema neno from air. anajua analolisema. madaktari wanatumwa. si bure! she is right!
 
Tuwaombe madaktari mumwamndikie barua mlata kupitia kwa spika athibitishe kauli yake. Nimeshangaa hata waziri mkuu kakubaliana na hilo. Je si jana tu naibu spika alisema bunge halisikilizi speculations?
 
Kumbe wenzangu bado mnasikiliza utumbo wa wabunge wa CCM?! I stopped long time ago
 
Hiyo ni kweli, kundi la madaktari linaloanzia na g..... likishirikiana na dr. majeruhi wamechukua fwedha kuendesha harakati za mgomo kutoka chama kioja cha siasa tanzania na NGO nitaitaja baadaye ili kutoa madai yasiyotekelezeka. Hii ni aibu kubwa, eti kuendeleza maslahi ya chama hicho. ukilitazama kwa undani suala hili ni la kisiasa sana kwani daktari anayeanza kazi alipwe 3.5m huyo ambaye ni specialist alipwe ngapi? haya walimu wenye degree zinazofanana na za madaktari wanalipwa tshs ngapi? mshahara wa kuanzaia tshs 1,100,000 eti ni mdogo? acheni udwanzi sisi walimu tunalipwa 420,000 mnatofauti gani na sisi? hizo ni siasa chafu
wabunge wanachukua sh ngapi? wanatofauti gani na nyie walimu?
 
Aombe asiugue na kama akiugua akatibiwe nje ya nchi.chama dhaifu na wabunge wanamawazo dhaifu ,hawa hawana huruma kabisa na wananchi
 
Martha Mlata anatumia Makalio yake kufikiri sababu ubongo wake umedumaa sana.

Sio hivyo tu, akili yake inafaa kuimba nyimbo za kikristo tu na sio kutafakali mambo ya maendeleo ya nchi!! She is a parliamentarian by default!! Ajue hii ndio mara ya mwisho harudi tena mjengoni baada ya katiba mpya kuwa operational.
 
Hawa wabunge ni wale ambao wapo kwa ajili ya kuwalamba miguu viongozi wao wa CCM, kama hana hoja bungeni ni bora kunyamaza tu, na pia akumbuke kwamba hata hao kina waziri mkuu na rais si wakweli katika kujibu hoja, wabunge wa CCM ni VILAZA
 
Bunge letu limeendelea kuwa la VITUKO kila uchao! Leo tena Mbunge wa Chama tawala Mh. Martha Mlata kaja na mpya kuwa Mgomo unaoendelea wa madaktari unadhaminiwa na kundi fulani. Hili hakika ni TUSI kubwa kwa madaktari wetu na ni vema AOMBE RADHI. Hivi kweli tumefikia kiwango cha kuwa-underrate madaktari wetu kwa kiwango hiki kwa kuwahusisha na malpractise ya aina hii. Anataka kutuaminisha kuwa wanachodai Madktari sio cha kweli bali wako influenced?

Tunakumbuka jinsi wabunge walivyozua tafrani wakati serikali hii inaingia madarakani wakidai POSHO ZAIDI NA KUPIGIWA SALUTI, hivi kipindi hicho walilipwa na nani? Wao hivi sasa wamepandishiwa stahili zao kwa 100% hadi 10,000,000/= hili kwao limewezekanaje? Kwa nini kwa madktari, na watumishi wengine, iwe nongwa?

Au ndio ule msemo wa ''Kunya anakunya kuku, bata anaharisha?''

IT IS MORE THAN PAIN

Kwa kweli it is NONESENCE - huyo Mbunge aliyo sema hiyo kuwa Madaktari wamelipua ni TAHIRA kabisa --- unajua hawa wanawake wa CCM awana elimu yakutosha kwa hivyo lazima
waendelea kusema MAFI ili wajulikane. WAJINGA SANA na stupid huyo mwanamke aliyosema hiyo. Madaktari are well qualified and have sense of humour who cannot be easily cheated with money. NONESENSE KABISA KUSEMA HIVYO BUNGENI. We need serious persons jamani Bungeni kuliko USHENZI HII.
 
Bunge letu limeendelea kuwa la VITUKO kila uchao! Leo tena Mbunge wa Chama tawala Mh. Martha Mlata kaja na mpya kuwa Mgomo unaoendelea wa madaktari unadhaminiwa na kundi fulani. Hili hakika ni TUSI kubwa kwa madaktari wetu na ni vema AOMBE RADHI. Hivi kweli tumefikia kiwango cha kuwa-underrate madaktari wetu kwa kiwango hiki kwa kuwahusisha na malpractise ya aina hii. Anataka kutuaminisha kuwa wanachodai Madktari sio cha kweli bali wako influenced?

Tunakumbuka jinsi wabunge walivyozua tafrani wakati serikali hii inaingia madarakani wakidai POSHO ZAIDI NA KUPIGIWA SALUTI, hivi kipindi hicho walilipwa na nani? Wao hivi sasa wamepandishiwa stahili zao kwa 100% hadi 10,000,000/= hili kwao limewezekanaje? Kwa nini kwa madktari, na watumishi wengine, iwe nongwa?

Au ndio ule msemo wa ''Kunya anakunya kuku, bata anaharisha?''

IT IS MORE THAN PAIN
Hili nalo neno. Kazi kwako Kamanda Kova
 
Imewagusa watu flani, tunachofanya ni kukusanya kumkukumbu za mauaji yao.
 
hawa wabunge wa siku hizi hovyo sana..kazi yao kubwa ni kupiga makofi bungeni , kusinzia, kutema pumba na kulamba posho wanasepa kusubiri kikao kingine......
hii nchi sijui kama tutafika kweli
 
Hawa wabunge wa viti maalum toka kwenye hiki CCM aka Chama Cha Magamba ni watu wa ajabu sijawai ona. Kazi yao ni kubwabwaja maneno ya kipuuzi yasiyo na kichwa wala miguu. Na ndio matatizo ya kupewa ubunge kwa urafiki na mapenzi na sio uwezo wa mtu, kwa mazingira kama haya ya mtu kupewa kwasababu ni mpenzi au hawara au rafiki wa kigogo mmoja uwezi tegemea akaongea cha maana bungeni. Wabunge wa namna hii ni mzigo wa Taifa na sisi wananchi walalahoi.
 
Tatizo la kuwa na wabunge wa viti maalum wa MAGAMBA kujipendkeza kwa serikali na kufumbia macho ubovu wa serikali hiyo.Hayo nayoyasema mlatha nu kukosa dira ya dhati ya wabunge wa ccm kutatua tatizo la sekta ya afya na kukimbile mambo ya kupoteza muda.Ni mpofu wa serikali yake kuwa ni dhaifu na sera dhaifu.
 
mlata ni mtu mwenye akili zake. hawezi kusema neno from air. anajua analolisema. madaktari wanatumwa. si bure! she is right!

si bure na wewe unatumiwa na CHAMA CHA MAJAMBAZI ili kupindisha ukweli.
 
Tusiweke udini kwenye siasa kwani tanzania aifungamani na upande wowote sote ni ndugu hivyo tusiaribu maana ya jf kwa udini
 
Back
Top Bottom