NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

Staili hiyo ya kuwalipa watu iko huko CCM, kila mwenyekiti wao akitaka kutoa pumba zake anavilipia vile vizee vya chama chao dhaifu ili vije kumshangilia, lakini kwa madaktari hilo haliwezekani,na huyo mbunge lazima awe ni kilaza wa hali ya juu,( kuna mtu ananinong'oneza hapa kumbe mbunge mweyewe ni vitu maalumu.)
 
hawana fikira hawa wabunge siku zote wamezoea akili za kushikiwa ambazo kamwe hazitoweza kuleta maendeleo katika nchi hii. my signature can tell what i mean
 
completely nonsense

Hata nyinyi hapa katika hii thrade mnachokiongea also absolutely NONSENSE !
Coz mnatoka mipovu ku'discus SPECULATION! Martha alichoongea amesema kuna TETESI hajathibitisha. Then hapa watu mnaomba source, kuna source ya tetesi ?
Mna masikio lakini mnaelewa kimawenge! Watu wazima Nonsense!
 
Hajaambiwa adhibitishe kwa maandishi?
Hawezi kuambiwa athibitishe kwa maandishi, wabunge wa nynyem wana kinga. Mhimili wa nne wa nji kaka. Wanabwatuka wanavyotaka, wanahisi kila jambo linahitaji propaganda za kisiasa, lakini katika hilo nashkuru Mungu wananji tunazidi kufumbuliwa juu ya uwezo finyu wa kufikiri wa baadhi ya viongozi.
 
Hata wabunge wa CCM walipokuwa wanadai nyongeza ya posho zao walikuwa wamelipwa na kikundi fulani ili nchi isitawalike
 
Hiyo ni kweli, kundi la madaktari linaloanzia na g..... likishirikiana na dr. majeruhi wamechukua fwedha kuendesha harakati za mgomo kutoka chama kioja cha siasa tanzania na NGO nitaitaja baadaye ili kutoa madai yasiyotekelezeka. Hii ni aibu kubwa, eti kuendeleza maslahi ya chama hicho. ukilitazama kwa undani suala hili ni la kisiasa sana kwani daktari anayeanza kazi alipwe 3.5m huyo ambaye ni specialist alipwe ngapi? haya walimu wenye degree zinazofanana na za madaktari wanalipwa tshs ngapi? mshahara wa kuanzaia tshs 1,100,000 eti ni mdogo? acheni udwanzi sisi walimu tunalipwa 420,000 mnatofauti gani na sisi? hizo ni siasa chafu

Kama wewe unalipwa kiasi hicho umelizika usiwazuie wenzako kudai wanachostahili,ujagundua kuwa unalipwa hivyo kutokana na udhaifu wako? Wewe hufai hata kuwa kwenye kundi la walimu kwani walimu wa sasa ni waelewa ndio maana wanaandaa mgomo,
 
Bunge letu limeendelea kuwa la VITUKO kila uchao! Leo tena Mbunge wa Chama tawala Mh. Martha Mlata kaja na mpya kuwa Mgomo unaoendelea wa madaktari unadhaminiwa na kundi fulani. Hili hakika ni TUSI kubwa kwa madaktari wetu na ni vema AOMBE RADHI. Hivi kweli tumefikia kiwango cha kuwa-underrate madaktari wetu kwa kiwango hiki kwa kuwahusisha na malpractise ya aina hii. Anataka kutuaminisha kuwa wanachodai Madktari sio cha kweli bali wako influenced?

Tunakumbuka jinsi wabunge walivyozua tafrani wakati serikali hii inaingia madarakani wakidai POSHO ZAIDI NA KUPIGIWA SALUTI, hivi kipindi hicho walilipwa na nani? Wao hivi sasa wamepandishiwa stahili zao kwa 100% hadi 10,000,000/= hili kwao limewezekanaje? Kwa nini kwa madktari, na watumishi wengine, iwe nongwa?

Au ndio ule msemo wa ''Kunya anakunya kuku, bata anaharisha?''

IT IS MORE THAN PAIN

Matusi ya CCM kwa wataalam katika nchi hii tulisha yazoea, kwa maana hiyo wanadai madaktari ni watu wa hovyo kiasi cha kununuliwa na watu wasio itakia mema nchi yetu. Mimi nadhani imefika mahala sasa CCM iache matusi kwa wananchi hata kama wanajivunia tume isiyo huru hawa wananchi wanaweza kuwaondoa madarakani wanapojisahau na kutukana matusi. Nijuavyo mimi madai ya madactari yalikuwepo hata kabla ya wabunge kudai kuongezewa posho lakini wabunge wametekelezewa na madactari wanatukanwa matusi kwamba hawana madai ila wamenunuliwa
 
  • Thanks
Reactions: FJM
huyo kazi yake ni kufurahisha wakubwa wake ili ateuliwe tena hana lolote na hajui chochote.
 
Kwa kweli it is NONESENCE - huyo Mbunge aliyo sema hiyo kuwa Madaktari wamelipua ni TAHIRA kabisa --- unajua hawa wanawake wa CCM awana elimu yakutosha kwa hivyo lazima
waendelea kusema MAFI ili wajulikane. WAJINGA SANA na stupid huyo mwanamke aliyosema hiyo. Madaktari are well qualified and have sense of humour who cannot be easily cheated with money. NONESENSE KABISA KUSEMA HIVYO BUNGENI. We need serious persons jamani Bungeni kuliko USHENZI HII.
Madaktari wanajipangia ujiko na kuulazimisha kwa nguvu,Heee! na sisi wananchi tunasema hao madaktari wa kileo ni nonsense kabisa,tena siyo serious.tutapendekeza wote wapelekwe JKT ikianza wakafundishwe uzalendo na adabu na heshima kwa nchi,wakigoma kwenda tu strip off hivyo videgree vyao tulivyowasomesha na kodi zetu halafu wanakuja kutunyanyasa navyo.akili zenu zinafikiria kuua tu wananchi wasiokuwa na hatia kwa huduma zenu mbovu na migomo isiyoisha.na sisi tumechoka kunyanyaswa na nyie watoto msiotuheshimu sisi tuliyowaleta duniani mnatuulia nini?.kama haukuridhika na huduma au mshahara wa serikali si ukaanzishe hospitali yako?utuondolee shida na kadhia hii,sijui mnasubiri nini ondokeni mtuachie madaktari wenye moyo na uzalendo wa kutoa huduma siyo nyie wapenda fedha mabaradhuli wakubwa nyie,chezea chochote ila siyo maisha ya mtu.Iliyotokea kwa Ully ni fundisho mjue na sisi wanachi tumechoka pamoja na kuwa siyo sahihi kwa kitendo hiki,lakini kwa mtizamo sahihi hiki ni kisasi kikiendelea na wananchi wataendelea tuone nani mshindi,maisha ya ndugu zetu hayana chama wala mshiko chapa kazi upate fedha si kugoma ili upate fedha wafinyu wa kufikiri nyie,sisi wananchi ndiyo tuliyowatuma hao wabunge huko bungeni watusemee hata wakilipwa ngapi kazi yetu wanaifanya sawia kuwaita wajinga sana inatuumiza sana.Hivi kati ya wabunge na madaktari nani wajinga?.jishusheni muheshimiwe msipojishusha hata sisi wananchi hatutakuwa na huruma na nyinyi.HATUTAKI MCHEZEE MAISHA YETU,MNATUKAANGA NA KODI ZETU.
 
Bunge letu limeendelea kuwa la VITUKO kila uchao! Leo tena Mbunge wa Chama tawala Mh. Martha Mlata kaja na mpya kuwa Mgomo unaoendelea wa madaktari unadhaminiwa na kundi fulani. Hili hakika ni TUSI kubwa kwa madaktari wetu na ni vema AOMBE RADHI. Hivi kweli tumefikia kiwango cha kuwa-underrate madaktari wetu kwa kiwango hiki kwa kuwahusisha na malpractise ya aina hii. Anataka kutuaminisha kuwa wanachodai Madktari sio cha kweli bali wako influenced?

Tunakumbuka jinsi wabunge walivyozua tafrani wakati serikali hii inaingia madarakani wakidai POSHO ZAIDI NA KUPIGIWA SALUTI, hivi kipindi hicho walilipwa na nani? Wao hivi sasa wamepandishiwa stahili zao kwa 100% hadi 10,000,000/= hili kwao limewezekanaje? Kwa nini kwa madktari, na watumishi wengine, iwe nongwa?

Au ndio ule msemo wa ''Kunya anakunya kuku, bata anaharisha?''

IT IS MORE THAN PAIN

Kama sio UDHAIFU wa Spika; Mlatta alitakiwa aagizwe kutoa ushaidi wa tuhuma nzito kama hizo! anyway Mlatta hapo kafikia upeo wa juu kabisa wa kufikiri. poor her!!
 
Don't you guys think Didas Masaburi was right when he said about some of our parliamentarians 'organ' of thoughts?
 
Du unafikiria kwa kutumia ubongo au tope? proffesionalsm ya udoctor to compare with education how come! sio lazima uandike its better to be quite kuliko kuendelea kututia hasira. kimsingi sisaport mgomo hata kidogo nichotaka tulete hoja za kumaliza hizi tofauti.
Hiyo ni kweli, kundi la madaktari linaloanzia na g..... likishirikiana na dr. majeruhi wamechukua fwedha kuendesha harakati za mgomo kutoka chama kioja cha siasa tanzania na NGO nitaitaja baadaye ili kutoa madai yasiyotekelezeka. Hii ni aibu kubwa, eti kuendeleza maslahi ya chama hicho. ukilitazama kwa undani suala hili ni la kisiasa sana kwani daktari anayeanza kazi alipwe 3.5m huyo ambaye ni specialist alipwe ngapi? haya walimu wenye degree zinazofanana na za madaktari wanalipwa tshs ngapi? mshahara wa kuanzaia tshs 1,100,000 eti ni mdogo? acheni udwanzi sisi walimu tunalipwa 420,000 mnatofauti gani na sisi? hizo ni siasa chafu
 
politician vs professionalism....! people are suffering pilitician take as oppurtunity gaining popularity. hao madoctor kweli na elimu yao wamerubuniwa kwa maslahi ya kundi fulani it can't bring sense. huyu mbunge alitakiwa kuwakilisha ushahidi au kufuta kauli na kuomba madoctor msamaha.
ningependa kujua ni mbunge wa kuchaguliwa au viti maalumu!?
 
Kwa kweli it is NONESENCE - huyo Mbunge aliyo sema hiyo kuwa Madaktari wamelipua ni TAHIRA kabisa --- unajua hawa wanawake wa CCM awana elimu yakutosha kwa hivyo lazima
waendelea kusema MAFI ili wajulikane. WAJINGA SANA na stupid huyo mwanamke aliyosema hiyo. Madaktari are well qualified and have sense of humour who cannot be easily cheated with money. NONESENSE KABISA KUSEMA HIVYO BUNGENI. We need serious persons jamani Bungeni kuliko USHENZI HII.

VYOVYOTE VILE ULIMBOKA GOT WHAT HE DESERVED KWANI HAIWEZEKANI AONGOZE MIGOMO ISIYO NA MKIA WALA KICHWA AKIDHANI YEYE NI YEYE HAKUNA MWINGINE.
NCHI HII INA DOLA NA DOLA IKO MAKINI KUHAKIKISHA NCHI INATAWALIKA.DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU HAZIRUHUSU KUSAIDIA, KUSHIRIKI WALA KUSHABIKIA KUUA.HAIRUHUSIWI PIA KUSAHAU KWAMBA KUNA SERIKALI INAYOWEZA KUKUNYANG'ANYA HATA VYETI VYAKO VYOTE F4,F6 NA KIJIDIGRII CHAKO HALAFU UKAREJESHWA KIJIJINI KWENU KWA KUPITIA KWA MKUU WAKO WA WILAYA,KATIBU KATA THEN MWENYEKITI WA MTAA WAKO.UKAKAA HUKO HADI UJUTE.
Chukieni kuleni mkaa wa moto lakini kuna mamlaka.ZIHESHIMIWE.
 
Back
Top Bottom