Nondo Mbeya

Nondo Moja yenye damu ya Binadamu Mbeya inauzwa Mpaka 100,000 za kitanzania. Sasa kuna Jamaa alipewa hiyo dili ya kupiga Nondo lakini siku hiyo hakufanikiwa kabisa kukutana na Binadamu, wakati mida inayoyoma Mbwa si akakatiza Mshkaji kwa uroho wa Pesa apamtwanga Yile Mbwa Nondo ya Kichwa na kupaza damu yake. Biashara ya Nondo zenye damu humalizika usiku jamaa Akapeleka Mzigo kwa Mwenye Bucha akalamba Kilo (100,000/=) taslimu. Kivumbi Asubuhi Msela amechukua nondo yake akaning'iza Nyama akisubiri Wateja Mwanangu Badala ya Watu si Mbwa wakaaanza Kumiminika katika Bucha la Mshikaji.

Kweli Mbeya ni Naumer
 
Hali ya usalama katika jiji la mbeya ni tata! Wakati nasoma chuo pale mbeya tulikuwa tunapata shida sana hususani zile siku ambapo kuna kuwa na mpira usiku,tulikuwa tunatembea kwa vikundi kama mbwa mwitu huku tukiwa tumebeba bisibisi zile kubwa kwa ajili ya usalama wetu! Kwa ufupi nondo za mbeya ni USHIRIKINA japo kuwa kuna madhehebu ya dini ya kikristo zaidi ya 300
 
Nondo Moja yenye damu ya Binadamu Mbeya inauzwa Mpaka 100,000 za kitanzania. Sasa kuna Jamaa alipewa hiyo dili ya kupiga Nondo lakini siku hiyo hakufanikiwa kabisa kukutana na Binadamu, wakati mida inayoyoma Mbwa si akakatiza Mshkaji kwa uroho wa Pesa apamtwanga Yile Mbwa Nondo ya Kichwa na kupaza damu yake. Biashara ya Nondo zenye damu humalizika usiku jamaa Akapeleka Mzigo kwa Mwenye Bucha akalamba Kilo (100,000/=) taslimu. Kivumbi Asubuhi Msela amechukua nondo yake akaning'iza Nyama akisubiri Wateja Mwanangu Badala ya Watu si Mbwa wakaaanza Kumiminika katika Bucha la Mshikaji.

Kweli Mbeya ni Naumer

mkuu kuna ukweli na habari yako?
 
Ukifika Mbeya utayaona haya:

1. Sura zenyewe zimekaa kijambazi
2. Ushirikina upo juu hata kwa kushuhudia tu nyuso za watu na utajiri wa ajabu ajabu
3. Mkoa ambao hata moyoni hupati AMANI
4. Wachawi ndo wametanda ule mkoa usipime
 
lakini mkuu,kumbuka Mbeya ndo kunaongoza kwa Makanisa kila kona.
 
Ukifika Mbeya utayaona haya:

1. Sura zenyewe zimekaa kijambazi
2. Ushirikina upo juu hata kwa kushuhudia tu nyuso za watu
3.
Mkoa ambao hata moyoni hupati AMANI
4. Wachawi ndo wametanda ule mkoa usipime

Waombe radhi kwa hayo..

Pamoja na yoote yaliyotajwa humu, wananchi wengi wa Mbeya wamejaa ufuasi mkubwa wa imani za kidini kuliko uchawi au ushirikina.

Hata ukipanda mabasi mkoani Mbeya, burudani za nyimbo zinazotawala ndani ya vyombo hivyo vya usafiri iwe kwa sauti au taswira, ni nyimbo za kidini, hii ndio Mbeya ninayoifahamu.
 
Kweli mbeya noma, wandugu nimekuja Mbeya kama miezi miwili iliyopita nikakutana na issue ya Nondo natamani nirudi Dar nikaendelee kukumbana na foleni ya kuamka saa kumi usiku kuliko issue ya Nondo.

hivi unajua kuwa bosi wako naye ni mpiga nondo? Jana alnusura akamatwe mitaa ya Jacaranda
 
Nikiwa kama mwana Jf niliyewah kuishi na kusoma mkoa wa Mbeya nahuzunika sana kusikia matukio ya watu kupigwa nondo...swali langu je ni ukosefu wa ulinzi shirikishi au ni ushirikina? Je serikali imefanya nini kujaribu kuzuia matukio hayo,mwenye chochote naomba atujuze.

Nilikuwa Mbozi(Vwawa) mwezi uliopita nilikuta watu 9 au 10 hivi waliopigwa nondo jana yake wakipatiwa matibabu hosipitali ya wilaya. Katika mazungumzo ya hapa na pale kaimu DMO alinieleza kuwa watu wanaitumia damu iliyobaki kwenye nondo kwa ushirikina ili wapate mali.Kwa hiyo mtu akipigwa nondo lazima apigwe kiwango cha kumtoa damu.
 
Dah mkuu inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom