Nondo Mbeya

ngwini

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
482
89
Nikiwa kama mwana Jf niliyewah kuishi na kusoma mkoa wa Mbeya nahuzunika sana kusikia matukio ya watu kupigwa nondo...swali langu je ni ukosefu wa ulinzi shirikishi au ni ushirikina? Je serikali imefanya nini kujaribu kuzuia matukio hayo,mwenye chochote naomba atujuze.
 
Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
6,946
6,382
hujaishi Mbeya wewe, Mbeya hakujawahi kupoa, kila siku kupo hot kama K ya changudoa
 
Butola

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
2,290
748
Mkuu ingekuwa hawachukui na vi2 ningedhani ni ushirikina 2 tatizo wanachukua v2 kama cmu,pesa nk.

..Wengi wa waliopigwa nondo hawajachukuliwa kitu chochote, it is as if wakishakupiga nondo ukatoka damu basi kazi yao imekwisha.
 
Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
3,894
1,667
Mkuu ingekuwa hawachukui na vi2 ningedhani ni ushirikina 2 tatizo wanachukua v2 kama cmu,pesa nk.

Kama ni vitu, wangemkaba mtu na kuchukua vitu na kuondoka na kumuachia mtu huru, sasa kummaliza mtu si ushirikina tu huo?
 
Songambele

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
4,486
2,171
Wauza mabucha na noah wanahusika zaidi manake nasikia kinondo kikimaliza kazi na kuloa damu kinaenda kuning'iniza nyama usipime mauzo.
Mbeya noma, wachuna ngozi, wamenyofoa viungo watoto na nondo kama kawa hawa jamaa kwa utajiri si mchezo mandondocha usipime na wengine wanalala na mamazao.
 
Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,435
Mbeya ni kama Laana, walimvamia Askari wa Kike Nyumbani kwake nasikia wakala Mzigo halafu wakampiga Nondo na hawakuchukua kitu chochote dah
 
Butola

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
2,290
748
Kama ni vitu, wangemkaba mtu na kuchukua vitu na kuondoka na kumuachia mtu huru, sasa kummaliza mtu si ushirikina tu huo?

....wanaua tu ikitokea kwa ajili ya self defence, lakini lengo lao wao ni kuzilowanisha nondo zao kwa damu ya mtu basi, so wakiku-target inabidi uwe tu mpolee ilmuradi wasipige vibaya ukapoteza...
 
Butola

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
2,290
748
Mbeya ni kama Laana, walimvamia Askari wa Kike Nyumbani kwake nasikia wakala Mzigo halafu wakampiga Nondo na hawakuchukua kitu chochote dah

...Duh...yaani pamoja na kuwaachia mzigo kwa upole bado wakamalizia kwa kupiga nondo!!noumer!!
 
ngwini

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
482
89
....wanaua tu ikitokea kwa ajili ya self defence, lakini lengo lao wao ni kuzilowanisha nondo zao kwa damu ya mtu basi, so wakiku-target inabidi uwe tu mpolee ilmuradi wasipige vibaya ukapoteza...

mkuu kama ingekuwa wanatoa roho za wa2 kwa kigezo cha self defence basi wangekuwa wanapiga nondo za mikono wapate hyo damu yao
 
Butola

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
2,290
748
mkuu kama ingekuwa wanatoa roho za wa2 kwa kigezo cha self defence basi wangekuwa wanapiga nondo za mikono wapate hyo damu yao

....Sasa wakipiga mikono si unaweza ukawarudi?ni lazima wapige ambush itakayowahakikishia usalama wao...

Wauza mabucha na noah wanahusika zaidi manake nasikia kinondo kikimaliza kazi na kuloa damu kinaenda kuning'iniza nyama usipime mauzo..
 
maswitule

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,392
471
Kweli mbeya noma, wandugu nimekuja Mbeya kama miezi miwili iliyopita nikakutana na issue ya Nondo natamani nirudi Dar nikaendelee kukumbana na foleni ya kuamka saa kumi usiku kuliko issue ya Nondo.
 
ngwini

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
482
89
Butola..kwa hakika m2 akikutandika na nondo ya kichwa na lile baridi la Mbeya lazima ukasalimie Mtoa roho huko akhera.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom