NONDO AMEHUMIWA?

NONDO AMEHUMIWA?

Tamapahi

Member
Joined
Feb 18, 2018
Posts
6
Reaction score
1
Wanajamvi mimi sio mjuzi wa sheria,naomba kujuzwa na wabobezi wa sheria juu ya haki anazopoteza mtuhumiwa aliyesomewa mashtaka ya jinai mahakami kabla ya mahakama kumtia hatiani,nauliza kutokana na memo inayooneka mitandaoni juu ya nondo kusimamishwa masomo kwa tuhuma zinazomkabili,na kama sheria mama hatoi nafasi ya adhabu kwa mtuhumiwa ni haki kwa sheria ndogo zinazotungwa na tasisi kutoa adhabu kwa mtuhumiwa?
NONDO AMEHUKUMIWA?
 
Waombe mod' s warekebishe heading yako mkuu,

AMEHUMIWA?!

Kisha next time kua makini zaidi kwa kusoma ulichokiandika kabla ya kukipost hapa,
nitarudi kuchangia mada.
 
Haki ipo mbinguni tu, duniani sheria, sheria dhidi ya wanyonge sio wenye mamlaka na pesa.
 
Nondo Anakandamizwa ...na waziri Mwigulu Nchemba..lakin kama nikuendelea na chuo anaweza kuendelea ..kwani Bob chacha Wangwe aliwai kupata kesi ya jinai..na aliendelea na masomo mpaka akagadruate .
 
Back
Top Bottom