Kinywaji hicho kitaitwa Champagne au jina lingine. Ila ukisha taja wine,otomatikali lazima kilevi kisikike. Ni sawa na kusema Konyagi isiyoleweshaZipo nyingi tu,pita shoppers utazikuta,morogoro store zipo,masaki zipo sea cliff village kuna duka lingine pale
Anaonaje akaagize V&A Uganda,akatest? Si ile hainaga🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wine isiyo na kilevi blend zabibu zako mwaya. Huku nje utadanganywa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nikuelekeze isiyo hiyo? Iko sawa haipeleki mtu hoiNdo maana naipenda Pepsi big
Scientist nimekubali kutokubaliana mkuu.Kwani haya ni Maelezo ya Nani..
View attachment 2895761
Sasa Faza alipoingia na kukukuta ktk hali ile ilikuwaje kwa mfano. 😠 😠Namna hiyo.
Kuna kipindi nikiwa chuo, tukamix nyingine ikabakaki. Hehehhe si tukaipiga kule ofisini, nililewa😂😂😂😂
Unapenda ligi. KwaheriPunguza jaziba. Soma kuelewa sio kujibu.
Mkuu,kikawaida,tukiacha lugha za biashara,wine ni nini? Achana na haya mambo ya kuchakachua. Uharisia wa wine, ni hiyo alchoolZipo tele. Nenda supermarkets utazikuta za kutosha,bei ni kuanzia elfu 10 na kuendelea
Champagne ina kilevi cha kutosha.Kinywaji hicho kitaitwa Champagne au jina lingine. Ila ukisha taja wine,otomatikali lazima kilevi kisikike. Ni sawa na kusema Konyagi isiyolewesha
Ni wewe ulianza kuni quote kwa hiyo sio mbaya, uwe na safari njemaUnapenda ligi. Kwaheri
Nop Hiyo sio kukubali kutokukubaliana ni kukataa Upotoshaji wa wazi..Scientist nimekubali kutokubaliana mkuu.
YES - Kabisa. Maelezo yaliyotolewa yanakinzana. Haiingii akilini, yan ni sawa na useme eti ni Pombe isiyokuwa na kilevi.Scientist nimekubali kutokubaliana mkuu.
Hahha kuna hii BAVARIA ina ladha nzuri sana, sasa sijui ni beer au soda ama ninini?Ndo maana naipenda Pepsi big
Sawa mkuu mawazo yako yatumike kama mwongozo.Nop Hiyo sio kukubali kutokukubaliana ni kukataa Upotoshaji wa wazi..
- Kwanini Mpotoshe?
- Unataka Uattain nini Kupotosha watu?
- Unafaidika nini na Upotoshaji huo?
- Unaona uko salama kama ukipotosha leo umewaza kuhusu kesho na kizazi kijacho?
- Hauoni kama unazidi kutengeneza Taifa la wapotoshaji endapo watu wakichukua Point yako kama Ukweli?
- Huoni kama Unaangusha Taaluma yako kama ukijikita kwenye Kusema Uongo kila siku?
- Uongo ukisemwa sana Hugeuka ukweli
Sawa mkuu.YES - Kabisa. Maelezo yaliyotolewa yanakinzana. Haiingii akilini, yan ni sawa na useme eti ni Pombe isiyokuwa na kilevi.
😁😁😁🙌🏾🙌🏾 swadakta mkuuKwamba nyama iliyokaangwa na maji ni mchemsho
🤣🤣🤣🤣🤣yaan mwee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nikuelekeze isiyo hiyo? Iko sawa haipeleki mtu hoi
Tafuta kitu inaitwa Greybolt. Ngoma fresh kwa wale wanaopendelea sijui Redds, sijui Flying Fish🤣🤣🤣🤣🤣yaan mwee