Non alcoholic wine

Namna hiyo.
Kuna kipindi nikiwa chuo, tukamix nyingine ikabakaki. Hehehhe si tukaipiga kule ofisini, nililewa😂😂😂😂
Umenikumbusha mbali mkuu, enzi zangu za utumikiaji kanisani.
 
Habari,
Wana jamvi hivi nikweli kuna mvinyo (wine)ambazo hazina kilevi kabisa kama unazijua zitaje.Maana kuna mtu aliniambia zipo nikamgomea Ahsanteni.
Zipo grape juice japo kama apa bongo kanisani wanatumia wine bhas zitakuwa zinapatikana kwa shida
 
Nisikilize mkuu!
Mi ni scientist Tunaweza kuanza kuweka Hoja mezani kuhusu hilo..
Every femented Substance has alcohol in it lavda tuanze kudefine kwanza alcohol pengine wengi hamjui maana yake
You get me wrong brother. Wewe ni scientist, fine. Mimi ni mzalishaji wa divai.

Ulichoniuliza ni kusema haina kilevi kabisa na mimi sijatumia neno 'HAINA KILEVI KABISA'

Nilichojibu ni kwamba divai inayosemwa haina kilevi huwa ina kiwango kidogo sana cha kilevi (kiwango cha chini ni. 0.5) ambayo ikipimwa na kipima kilevi itaonekana haina kilevi ila sio kama haina kabisa.
 
Hapa ndo umetoa jibu..
 
avda tuanze kudefine kwanza alcohol pengine wengi hamjui maana yake
Yawezekana wengi hawajui. Ila mimi nafahamu vizuri.

Divai ya Zabibu zisizo sindikwa zinaweza kusababisha divai isiyo na kilevi. Lakini zikisha sindikwa mpaka zikatengeneza kilevi, zikifanyiwa dealcoholization kilevi kidogo kinabaki.

(Mchakato huu unaweza kujumuisha kuchachusha zabibu kwa muda mfupi na kisha kuziondoa mapema kabla ya kuanza kuzalisha kilevi.)
 
You get me wrong brother. Wewe ni scientist, fine. Mimi ni mzalishaji wa divai.

Ulichoniuliza ni kusema haina kilevi kabisa na mimi sijatumia neno 'HAINA KILEVI KABISA'

ONLY ITS YOUR WORDS AGAINTS YOURS na sio Yangu mkuu..
1. Divai isiyo na kilevi: Baadhi ya wazalishaji wa divai wameunda aina maalum za divai ambazo hazina kilevi kabisa. Hizi ni kawaida divai ambazo zimefanywa kwa kutumia mchakato wa kuvuna mapema au kuzuiwa kwa njia ambayo inazuia uundaji wa kilevi.

Kwahyo mkuu Kuna sehemu Nimekusingizia?
Aliyesema hayo maneno hapo Juu ni Nani au ni watu wawili tofauti?
 
ONLY ITS YOUR WORDS AGAINTS YOURS na sio Yangu mkuu..

Kwahyo mkuu Kuna sehemu Nimekusingizia?
Aliyesema hayo maneno hapo Juu ni Nani au ni watu wawili tofauti?

NIONYESHE NILIPOSEMA HAZINA KILEVI KABISA.
Soma maelezo mkuu, hizo ni aina zinazosemwa hazina kilevi. Soma maelezo yote utaelewa brother.
 
Akili mbovu! Isiyo na kilevi maana yake alcohol content ni 0%! Hicho kitu hakuna kwenye wine. Hata ikiwa ni 0.00000000000000000001% bado ina kilevi. Mambo ya kabisa yatoke kichwani Mwako
 
Hakuna Divai isyosindikwa mkuu Divai yoyote ili iitwe Divai lazma isindikwe (Fermented)..

Divai isiyosindikwa Ni Juice ya Zabibu..
Na Juice ya Zabibu Isiyosindikwa haiitwi Divai au Wine..
Inaitwa MUST (Au kwa kilatin vinum mustum)
Sasa mkuu Vinum Mustum Haiwezi kuwa Wine..
Hiyo ni freshly crushed fruit juice..Na Basically ni Grapes Juices..
Na inapotengenezwa yale mabaki yake pamoja na Mbegu na maganda huitwa POMACE..
 
Sawa mkuu
 
NIONYESHE NILIPOSEMA HAZINA KILEVI KABISA.
Soma maelezo mkuu, hizo ni aina zinazosemwa hazina kilevi. Soma maelezo yote utaelewa brother.
Nahisi nimeshaonyesha na nikaweka Alama maandishi mekundu You can check them
 
Akili mbovu! Isiyo na kilevi maana yake alcohol content ni 0%! Hicho kitu hakuna kwenye wine. Hata ikiwa ni 0.00000000000000000001% bado ina kilevi. Mambo ya kabisa yatoke kichwani Mwako
Punguza jaziba. Soma kuelewa sio kujibu.
 
Namna hiyo.
Kuna kipindi nikiwa chuo, tukamix nyingine ikabakaki. Hehehhe si tukaipiga kule ofisini, nililewa😂😂😂😂
Endeleza stori basiiiiii. Ukalewa! Kikatokea nini? Maana ofisini hukuwa mwenyewe,ukarudi gheto,lazima ulipata msaada baada ya dish kuyumba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…