Non alcohol wine naipata wapi?

Ni kweli hakuna kitu kinaitwa non alcohol wine
Ukishasema wine tayari ni alcohol
Wine maana yake ni alcoholic drink
Hyo anayouliza labda juice
 
Katika wine hatari droatyd hof nimoja ya wine ngumu sanaa
Huyu jamaa hamtakii mema mtoa mada

Kuna mwalimu mmoja alizoea bia tulikua nae kamati ya harusi, tukamkaribisha akaanza kubugia Kama anakunywa bia.

Masaa 2 mengi akaanza kupinga yowe anataka tumuitie MKE wake aje
 
Kwa supermercado
 

Attachments

  • 992FCD1C-1D02-4754-8FD7-2B6409A2EBDE.jpeg
    923 KB · Views: 26
Huyu jamaa hamtakii mema mtoa mada

Kuna mwalimu mmoja alizoea bia tulikua nae kamati ya harusi, tukamkaribisha akaanza kubugia Kama anakunywa bia.

Masaa 2 mengi akaanza kupinga yowe anataka tumuitie MKE wake aje
 
Wakuu nahitaji Non Alcohol Wine(0.0%).

Kuna maduka 2 ya pombe kali mbezi Luis nimejaribu kuulizia wanasema hawana wanazo zenye alcohol tu.

Anayefahamu naomba anijuze niifuate popote dsm wine isiyo na kilevi kabisaaa
Pamoja na kuwa situmii hiyo kitu ila najua Ili iitwe wine lazima iwe na ALCOHOL;
kama unahitaji Non Alcoholic ujue unatafuta kitu kingine ila sio wine!
Nakushauri uachane na POMBE kwani hakuna pombe isiyokuwa na kilevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…