Mi naona tatizo lipo hapo kwa watoto wa marehemu ndipo bifu lilipoanzia kama vipi nifafanulie kauli ya mama yako anaposema unawatesa watoto kivipi? Unajua mamtu ya bongo inafikili ni wajibu wako kulea mtoto wa mwenzio tena kwa kuprovide kila kitu kutoka kwako as if alikuzalia yeye.Nakusifu kwa kuchukua jukumu la kutoa msaada wa kuwalea watoto wa marehemu ambao mara nyingi ndo chanzo cha kuonekana una roho mbaya dia.
Ni kweli ameanza kupoteza nguvu, ndiyo maana dada mtoto wa mama mkubwa kaniambia nimuachie, iko siku atanitafuta.naona uzee unamsumbua, Anyway i don't know!!!wazazi wengine jamani,wana tamaa tu.mama yako ana nyumba 5 na bado anataka kukutoa hapo unapoishi.hajui ipo siku hizo nguvu zake atakuwa hana,na hizo mali zitakuwa nothing kwake.atakaowahitaji ni nyijyi na sio mali.inasikitisha
Kwanza mpk sasa siamini macho yangu kama kitu kama hicho kingeweza kunitokea kwenye maisha yangu, kwa sababu nilikuwa nina imani kuwa wazazi wangu wapo watanisupport , na ndiyo maana niliweza kuondoka kwa mume nikaanza moja kwa kujua wapo wa kunisaidia. Ila jumamosi naenda kuongea na Baba anipe ushauri nifanyeje, lakini pia nahofia naweza kuwa chanzo cha ugomvi wao.Binafsi yangu huwa naona hasara ni roho tu pesa makaratasi...kama ulitoka kwenye matatizo ya ndoa na ukaamua kuanza moja, basi ongea na mungu wako kama alikupatia hicho ulichopata ukajenga atakupa kikubwa zaidi, inauma na inaumiza sana nguvu zako kupotea ila kuliko kuanza kuvutana na mama yako bora uwaite ndugu uwaambie kilichotokea na umwachie hizo nyumba ndugu wakiwa mashahidi....alafu utakuja kuniambia kama jasho la mtu linaliwa...
Baba hajajua kwa sasa, ndiyo nataka nikamwelezee nisikie atasemaje, lakini baba yngu ananipenda sana , najua akijua hilo panaweza pakachimbika pale home, na mm sitaki kuwa chanzo cha ugomvi wao.
Kwanza mpk sasa siamini macho yangu kama kitu kama hicho kingeweza kunitokea kwenye maisha yangu, kwa sababu nilikuwa nina imani kuwa wazazi wangu wapo watanisupport , na ndiyo maana niliweza kuondoka kwa mume nikaanza moja kwa kujua wapo wa kunisaidia. Ila jumamosi naenda kuongea na Baba anipe ushauri nifanyeje, lakini pia nahofia naweza kuwa chanzo cha ugomvi wao.
Wewe dada white muogope Mungu kabisa tena usithubutu siku nyingine usihukumu usije ukahukumiwa mwnyw acha kabisa Mungu ndio anajua walio wake,amtegemeaye mwanadamu amelaaniwa ukienda kumtafuta Mungu kanisani utamuona ukienda kanisani kwa mchungaji na ukaweka tegemeo lako lote kwake utayaona yaliyo ya kibinadamu,dada @nackvyona endelea kumtegemea Mungu yy ndo anaijua shida yako na msaada pekee utaupata kwake.
Some mothers are controlling and have narcisstic personality disorder.she can't control you anachoamua kukutenda .kuna wamama wanaua watoto Wao sometimes.Ignore herHabari wana JF, nimejiunga na hii Forums siku si nyingi, ila nimependa sana comment zenu , na ushauri mnaotoa kwa watu mbali mbali pale wanapoomba msaada wa mawazo, nami nikavutiwa nikaona bora nijiunge nanyi labda nitapata mawazo mazuri ambayo yatanifanya niendelee kuishi.
Mimi ni mtoto wa pili katika familia yetu, tulizaliwa wasichana wote 4, tulilelewa vizuri na kusomeshwa pia, bahati nzuri tulipata kazi na Mungu akabariki tuliolewa wote, ila katika maisha Mungu huwa na mipango yake, ndugu zangu wawili wakafariki dunia na kutuachia watoto ambao tunawalea mm na mdogo wangu.Katika kuishi huko mm ndoa ikanishinda ikabidi niachike, nikaenda kujenga kwenye kiwanja cha wazazi wangu, nashukuru Mungu maisha yakaanza kuwa mazuri, nikawa naweza kulea watoto wangu wawili pamoja na wandugu yangu wawili umla nilikuwa na watoto 4.
Katika kuishi huko nikaweza kuongeza nyumba ya pili ambayo nimepangisha napata pesa za kusomeshea watoto. Lakini linalonitatiza ni Mama yangu Mazazi simuelewi kabisa, kwamba anataka mm nitafute sehemu nihame pale kwa sababu anahitaji hizo nyumba kupangisha , anasema nimeshakaa sana inatosha, sasa nikamuuliza kuwa mm si ndiyo nimejibana nikajenga, ananiambia nitoe tofari zangu.
Imefikia steg ya kubagua hata wanangu, kwa kweli inaniuma sana, kwa sababu yeye ni mama yangu, anatakiwa aniunge mkono aslimia 100, lakini yeye ndiyo anakuwa kikwazo kwangu , sifahamu ni kwa nn, na kama nimemkosea kwa nn asiniambie?, najiuliza nimemchukiza nn, sipati jibu.Kama matumizi nampa, au anaona hazitoshi?
Sipendi kuandika hapa , ila imenibidi, naona sina faida ya kuendelea kuishi, maana mume kanishinda
na ninayemtegemea kunisupport kanigeuka, naona bora nife mm na wanangu nimuachie hizo nyumba.
naombeni ushauri nifanyeje?
NI mama yangu kabisaaaaaa, na ni msomi mzuri na ana nyumba Tano hapa Dar, na kapangisha zote, Lakini sijui ni nn kwa kweli, niombeeni, maana nimeanza kufunga na kusali ili Mungu anionyeshe ni nn kipo ndani yake.
Habari wana JF, nimejiunga na hii Forums siku si nyingi, ila nimependa sana comment zenu , na ushauri mnaotoa kwa watu mbali mbali pale wanapoomba msaada wa mawazo, nami nikavutiwa nikaona bora nijiunge nanyi labda nitapata mawazo mazuri ambayo yatanifanya niendelee kuishi.