pole sana mdada, ni kwa nini ulienda kujenga nyumbani kwenu? kama ulikuwa na uwezo wa kujenga nyumba dadaangu kwa nini hukununua kiwanja chako ujenge? naandika huku naumia sana utafikiri ni mm ndo nafanyiwa hivyo. kwa upeo wangu unaweza kujenga kwenye kiwanja cha nyumbani iwapo umepewa urithi au ukaamua kujengea wazazi as a gift. sijui mapatano yako na wazazi hadi kuanza kujenga nyumba ni kuita ya kwako kwenye kiwanja cha familia labda utwambie tujue pa kuanzia kutoa ushauri.
Mimi nilienda kuomba kujenga kwenye kiwanja hicho , ni baada ya kushindwa maisha na vituko vya mume wangu, nikaenda kuomba kujenga vyumba viwili ili nitafute kwangu, baba akaja kunisalimia , akaniambia nijenge nyumba kubwa nikae maana hamna mtu atakayekuja kukusumbua,basi nikaona kama mwenye kiwanja katoa go ahed kwa nn nisijenge nkajenga . Baadae nikapata pesa nikaamua kuweka kitega uchumi ili niweze kuishi vizuri nisije nikamanga manga na wanaume tena nikapata magonjwa nikawaacha wanangu. Sasa nilianza kusikia kwa ndugu watoto wa mama mkubwa kuwa mama anasema hayo nikawa siamini, juzi nimeyasikia kwa kaka mtoto wa baba mkubwa, kuwa anasema haoni faida ya mm kuendelea kukaa pale, ikabidi nimfuate ndiyo akanipa live kuwa kama ni nyumba basi nitoe tofari zangu. kwa kweli nimechoka hoiii, nashindwa la kufanya , sipati usingizi, naona dunia imenisonga, pa kushika sina nifanyeje?

Mama yeye ndiye aliyeniombe kujenga vyumba viwili kwa baba na kumpa mkasa mzima kuhusu ndoa yangu, kwa hiyo baba ndiyo akaja kwangu kuangalia jinsi ninavyoishi na watoto akanionea huruma na kuniambia jenga nyumba kubwa, uishi na wanao na usiogope kwamba kuna mtu atakusumbua. Sasa nashangaa mama ndiyo kikwazo.Pole sana mamito. Mimi nina swali kabla hata sijatoa ushauri. Alietoa go ahead ni baba, je mama alishirikishwa kwenye hayo maamuzi? na je baba anasemaje sasa hivi kuhusu hilo suala. Na mama anavyosema utoe matofali manake ni ubomoe right! ukishabomoa atapangisha nini?
Asante sanaaaaaaaaa , Hata mm nimewaza hilo kuwa haiwezekani akawa na roho hiyo, ni lazima kuna roho ya kishetani ndani yake, nashukuru sana kwa ushauri. Nimepata faraja.Inawezekana kuna laana juu yako au kwa Mama yako. Utafute kanisa wanalotoa huduma za maombezi ukaombewe.
NI mama yangu kabisaaaaaa, na ni msomi mzuri na ana nyumba Tano hapa Dar, na kapangisha zote, Lakini sijui ni nn kwa kweli, niombeeni, maana nimeanza kufunga na kusali ili Mungu anionyeshe ni nn kipo ndani yake.Au huyo siyo mama yako mzazi umuulize vizuri.
Inawezekana kuna laana juu yako au kwa Mama yako. Utafute kanisa wanalotoa huduma za maombezi ukaombewe.
Hayo makanisa yenyewe laana tupu hata wachungaji wenyewe laana mshauri lingine.