Noma sana

Noma sana

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
250666_412107032160671_1294125508_n.jpg
 
no comment! ila sidhani kama ni kwa kosa la kushindwa kuandika ama kusoma vile!
 
Piga Ngoma Sio Mtoto old slogan sijui watu gani hawa..
 
hiyo ni fimbo au jiti?...nina hakika alikuwa anakatishia tu....
 
no comment! ila sidhani kama ni kwa kosa la kushindwa kuandika ama kusoma vile!
toto unakuta amejinyea anashindwa kusema hata malimuuu mimi sikia pupuuu au jojoaaa
 

Ikitokea siku ukabahatika kukutana na mtu anafanya kitu cha namna hii hesabu kuwa ni bahati mbaya kwako kwa siku hiyo maana uwezekano wa kuondoka umenunua kesi ambayo siyo yako unakuwa ni mkubwa mno!
 
We should not get stuck in the past nor shall we run too fast with modernization! Let us balance the past, present and future!

That is why I stay at the middle of the reach for both! And that is why I will allow reasonable use of stick to my child.
 
Back
Top Bottom