nokia

nokia

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,117
mwenye nokia nzuri hasa X1 au X2-01 ama nyingine nzuri iwe inatumia memory card isiwe imechakaa na iwe nzima nna elfu 35 tu kama huna tafadhari mkuu usilete masihala hapa mi ni mwanajeshi shauri yako piga 0715739470 au tuma sms.
 
kama we Ni mwanajeshi nenda maduka ya jeshini huko vitu bei rahic,,
 
mwenye nokia nzuri hasa X1 au X2-01 ama nyingine nzuri iwe inatumia memory card isiwe imechakaa na iwe nzima nna elfu 35 tu kama huna tafadhari mkuu usilete masihala hapa mi ni mwanajeshi shauri yako piga 0715739470 au tuma sms.

sasa sisi tufanye nini?hiyo 35 mi nakupa nokia 105 kutoka india,hutaki acha mana mi mwenyewe Zombie ntakufanya vby
 
sasa sisi tufanye nini?hiyo 35 mi nakupa nokia 105 kutoka india,hutaki acha mana mi mwenyewe zombie ntakufanya vby

kausha zombie takung'oa meno yote...vipi unayo simu kati ya hizo mi sitaki hiyo bana.
 
Back
Top Bottom