I Insabhunsa Gusa Senior Member Joined May 13, 2011 Posts 109 Reaction score 88 Aug 20, 2013 #1 Wataalam, nawezaje ku block unwanted calls kutoka kwa mtu ambae analeta usumbufu kwenye simu niliyoitaja hapa juu. Yaani nataka akipiga isomeke sipo hewani!! Maana ni kero sasa. Naomba msaada na si karaha.
Wataalam, nawezaje ku block unwanted calls kutoka kwa mtu ambae analeta usumbufu kwenye simu niliyoitaja hapa juu. Yaani nataka akipiga isomeke sipo hewani!! Maana ni kero sasa. Naomba msaada na si karaha.