nokia wazindua feature phone mbili mwc, nokia 105 na 301

nokia wazindua feature phone mbili mwc, nokia 105 na 301

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,280
Reaction score
44,417
kama we ni mpenzi wa simu ambazo sio smartphone, simu ndogo zinazokaa na charge simu ambazo ni rahisi kutumia basi hizi zinakuhusu, leo katika tamasha la mobile world congress nokia wamezindua hizi simu. kwa kuanza tuiangalie nokia 105,


nokia 105 successor wa nokia ya tochi
nokia wanasema research zinaonesha kuna watu 2.7 billion duniani wanatakiwa wawe na simu lakini hawana, na hii simu imetengenezwa kwa ajili yao kwa bei rahisi kabisa ya euro 15(shilingi elfu thelathini za kitanzania)



vitu muhimu kwenye hii simu

  1. inakaa na chaji hadi siku 35
  2. ina tochi
  3. ina kioo cha rangi
  4. ina fm radio
  5. ina button zisizopitisha vumbi na cover kwa ujumla
  6. saa inayoongea
  7. bei rahisi ya elfu 30 (bila kodi) nafkiri baada ya kodi itakua 35,000 au 40,000


nokia 301 feature phone ya ukweli
nilikua naangalia live event hii sikuamini macho yangu nilipoona feature za camera yake ilikua ni zaidi ya cheap smartphone, kama we ni mpenzi wa camera na huna hela narecomend hii simu na bei ni euro 65 kama laki na elfu 30 za bongo mpya.

vitu muhimu kwenye hii simu

  1. ina camera ya kuongea ukikaa vibaya inakuambia
  2. inakubali panorama
  3. ina 3g na whatsapp
  4. ina line mbili
  5. inakubali hd voice na kuondoa makelele na kueka sauti clear ukiongea
  6. button za candy


nasubiria maoni yenu chini guys
 
Itaingia lini Dar,mie ni mpenzi sana wa nokia na hapa natumia E63
 
Itaingia lini Dar,mie ni mpenzi sana wa nokia na hapa natumia E63

mkuu kama unatumia e63 kuja huku ni kudowngrade maana hizi simu hazina power kama simu uliyonayo so bora kama unataka ku upgrade simu yako ya sasa nunua e5 ndo perfect choice
 
Chief We ndo unanifanya niipende Nokia

mkuu choice ni yako ila nafurahi kuona na wewe unapenda kampuni inayojali, sio wengine wanaotengeneza product kucompete na nokia badala ya kumjali yule wanayemtengenezea
 
Kuna watu wana allergy na wachina aisee wao miaka yote wachina 2 hata itoke cmu yabei rahisi kiasi gani
 
Chief kamwe siwezi kuiacha nokia,maaana inaendana na mahitaji yangu hayo ma android cjui mi hata sitaki kuyaonja ntabaki nokia milele,na thanx kwa msaada wako tatizo kwenye nokia liliisha na simu ipo poa
 
hiyo 301 ukiiona dar nijulishe

mkuu wakati naangalia hii event kuna maneno yule presenter marko alisema kua 301 itakua ndo simu ya kwanza kuimplement concept ya dual sim kwenye whatsapp, sikumuelewa hapa alimaanisha nini,

ila possibly maybe nokia wanaeza tuletea whatsapp yenye user wawili ndani ya simu moja maana utakua na dual sim

na kama ni hivo hii simu itauza sana
 
Chief kamwe siwezi kuiacha nokia,maaana inaendana na mahitaji yangu hayo ma android cjui mi hata sitaki kuyaonja ntabaki nokia milele,na thanx kwa msaada wako tatizo kwenye nokia liliisha na simu ipo poa

mkuu ijaribu tu na android maana hizi feature phone ni simu ya 2 hua haipendezi iwe main phone
 
mkuu naomba unisaidie mie na2mia Nokia 6120c kuna k2 kinanichanganya pale kwny network settings kuna v2 vinaitwa GSM, UMTS and dual mode ebu samahan naomba unipe tofaut zk?
 
mkuu naomba unisaidie mie na2mia Nokia 6120c kuna k2 kinanichanganya pale kwny network settings kuna v2 vinaitwa GSM, UMTS and dual mode ebu samahan naomba unipe tofaut zk?

kwa hapo gsm inamaanisha 2g na 2.5g yani gprs na edge. Wakati umts inamaanisha 3g.

Tofauti ya vyote hivyo ni speed.
-2g inarange 8 mpaka 42kbps hii ni gprs yenye speed ndogo kabisa na utaijua kwa alama ya G na ikiwa G imezungushiwa kibox ujue upo conected.

-2.5 g hii inajulikana kama edge nayo inakua na alam E kwenye screen speed yake inaenda hadi 286kbps

-3g hii ndo bora ya zote na speed kwa tz inaenda hadi 8mbps

sema japo moja note umts ipo fasta lakini inakula sana charge wakati gsm ipo slow ila haili sana.

Dual mode unamix gsm na umts kwa pamoja. Mfano ukienda eneo lina signal ndogo za 3g utaona automatic inaswitch kuja edge
 
Simu zote ni nzuri, ila hiyo inayokaa na chaji siku 35,naingojea kwa hamu sana!! Tatizo wachina hawakawii kuchomekea feki zinazofanana na hizo kabisa!!
 
Simu zote ni nzuri, ila hiyo inayokaa na chaji siku 35,naingojea kwa hamu sana!! Tatizo wachina hawakawii kuchomekea feki zinazofanana na hizo kabisa!!

mkuu haimaanishi siku 35 basi ndo unapiga kila saa ikae muda huo. Yani hapo wameeka muda wa stabdby, yani unawasha simu inakaa on hupigi hupigiwi ndo itakaa muda huo. Kwa matumizi makubwa labda sku 7 au 8
 
mkuu ijaribu tu na android maana hizi feature phone ni simu ya 2 hua haipendezi iwe main phone
Mkuu [MENTION]chuef-mkwawa[/MENTION] nimetumia nokia E52 kwa zaidi ya miaka miwili,bahati mbaya juzi imeingia maji hivyo inaleta usumbufu fulani....kwa hiyo naomba ushauri ninunue nokia gani yenye nguvu ya internet kama E52 au zaidi.....bei kuanzia laki tatu hadi laki tatu na nusu....isiwe screen touch.!!!
 
kwa hapo gsm inamaanisha 2g na 2.5g yani gprs na edge. Wakati umts inamaanisha 3g.

Tofauti ya vyote hivyo ni speed.
-2g inarange 8 mpaka 42kbps hii ni gprs yenye speed ndogo kabisa na utaijua kwa alama ya G na ikiwa G imezungushiwa kibox ujue upo conected.

-2.5 g hii inajulikana kama edge nayo inakua na alam E kwenye screen speed yake inaenda hadi 286kbps

-3g hii ndo bora ya zote na speed kwa tz inaenda hadi 8mbps

sema japo moja note umts ipo fasta lakini inakula sana charge wakati gsm ipo slow ila haili sana.

Dual mode unamix gsm na umts kwa pamoja. Mfano ukienda eneo lina signal ndogo za 3g utaona automatic inaswitch kuja edge

Ahsante sna Mkuu ila samahan kwa usumbufu
 
Mkuu [MENTION]chuef-mkwawa[/MENTION] nimetumia nokia E52 kwa zaidi ya miaka miwili,bahati mbaya juzi imeingia maji hivyo inaleta usumbufu fulani....kwa hiyo naomba ushauri ninunue nokia gani yenye nguvu ya internet kama E52 au zaidi.....bei kuanzia laki tatu hadi laki tatu na nusu....isiwe screen touch.!!!

mkuu kama hutaki touch screen kwa upande wa nokia umebakiwa na choice 2, e5 na c5-00(sio c5) basi.

Hizo simu ni bora kuliko e52.

Pia ipo moja inaitwa e6 hii ni nzuri zaidi sema ni hybrid ina touch na ina button.

E5 ipo hivi
nokia-e5-ofic.jpg


c5-00 ipo hivi
nokia-c5.jpg


e6 ipo hivi
nokia-e6-00-ofic.jpg
 
Back
Top Bottom